YUSUF MLELA KUMKABILI NAY WA MITEGO ULINGONI

SHARE:

Muigizaji wa filamu za bongo Yusuph Mlela leo amezungumza na kumtaka msanii wa muziki wa hip hop na Bongo fleva Nay wa Mitego, kuheshimu ...

Muigizaji wa filamu za bongo Yusuph Mlela leo amezungumza na kumtaka msanii wa muziki wa hip hop na Bongo fleva Nay wa Mitego, kuheshimu na kutoziingilia kazi za wasanii wengine kama anavyoheshimu kazi zake.
Yusuf Mlela aliendelea kwa kusema kuwa kama Nay wa Mitego anaona ameshafanikiwa kimaisha basi awapishe wasanii wengine waendelee kujitafutia riziki kwani bado wana safari ndefu kimaisha.
‘Mimi namuomba sana Nay ajiheshimu sana, asiingilie kazi za watu ambazo hazimuhusu. Kama yeye ameshajiweza kwenye suala la kipato basi akae pembeni atuache wengine tutafute riziki”– alisema Mlela.
Aidha Mlela alizungumzia suala la yeye kutaka pambano la ndoni kati yake na Nay, na kusisitiza ili kurudisha heshima kati ya wawili hao basi ni vyema wakapanda ulingoni na kuzichapa.
Sawa mimi na yeye tunaweza tukawa  hatulingani labda kiuwezo na kimaisha kwa sababu yeye anaona tayari amekwisha rizika, ndio maana namuomba tupande ulingoni ili tuheshimiane. Mimi kama ningekuwa naimba ningeingia studio nikatengeneza wimbo wa kumchana lakini kwa vile kazi zetu haziingiliani ndiyo maana nasisitiza ki Hip hop tuu tuingie ulingoni ili heshima iwepo tuache maneno maneno” alisisitiza Mlela.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: YUSUF MLELA KUMKABILI NAY WA MITEGO ULINGONI
YUSUF MLELA KUMKABILI NAY WA MITEGO ULINGONI
https://2.bp.blogspot.com/-nu5Csvd1BzI/WQNLomWOztI/AAAAAAAAaOI/6ipW7lVq2nomeQYEH5UQrrS9yblrzvC0wCLcB/s1600/xMlela-na-Nay-660x375.jpg.pagespeed.ic.XD6XWSrbs8.webp
https://2.bp.blogspot.com/-nu5Csvd1BzI/WQNLomWOztI/AAAAAAAAaOI/6ipW7lVq2nomeQYEH5UQrrS9yblrzvC0wCLcB/s72-c/xMlela-na-Nay-660x375.jpg.pagespeed.ic.XD6XWSrbs8.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/yusuf-mlela-kumkabili-nay-wa-mitego.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/yusuf-mlela-kumkabili-nay-wa-mitego.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy