ZIFAHAMU DALILI ZA MWILI KUKOSA VIRUTUBISHO MUHIMU

SHARE:

Baadhi ya watu wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la harufu mbaya mdomoni na maeneo mengine mwilini, kupasuka kwa kidomo, pamoja na kuumwa ...

Baadhi ya watu wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la harufu mbaya mdomoni na maeneo mengine mwilini, kupasuka kwa kidomo, pamoja na kuumwa kichwa. Wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta dawa ya kujitibu dhidi ya matatizo hayo bila kutaka kujua sababu ya kuwepo kwa matatizo yenyewe.
Wakati mwingine mwili hutoa dalili fulani ili kuashiria kuwa umepungukiwa na vitamini au baadhi ya madini muhimu. Utafiti uliofanywa na ‘Healthspan’ umeonyesha kuwa watu 6 kati ya 10 hawajui chochote kuhusu kuzibaini dalili hizoo zinazotolewa na mwili.
Dalili nyingine ambazo mwili huzionyesha kutokana na upungufu wa madini ya muhimu au kutokuwa na lishe iliyo bora ni pamoja na kuwa na nywele nyepesi, alama nyeupe katika kucha, mba, pamoja na ngozi kavu.
Lakini kwa mujibu wa mtaalamu wa lishe kutoka London, Rob Hobson, kuongeza mboga mboga, nyama nyekundu na karanga katika mlo wako inaweza kusaidia kupambana na dalili hizo.
Hizi hapa ni baadhi ya dalili zinazotolewa na mwili na vyakula unavyoweza kuvitumia ili kupambana nazo.
Midomo kupasuka
Inaweza kuwa dalili ya: Upungufu wa madini ya chuma au vitamini C
Vyakula vinavyoweza kukusaidia kupambana na hali hiyo: Nyama nyekundu, pilipili, mboga aina ya spinach pamoja na samli.
Mba
Inaweza kuwa dalili ya: Upungufu wa vitamini B7, vitamini H na upungufu wa mafuta ya asidi.
Vyakula vinavyoweza kukusaidia kupambana na hali hiyo: Siagi ya karanga, mbegu za alizeti, samaki wabichi pamoja na lozi.
Kukauka kwa ngozi
Inaweza kuwa dalili ya: Upungufu wa Omega-3
Vyakula vinavyoweza kukusaidia kupambana na hali hiyombegu za alizeti, karanga na mbegu za ufuta
Chunusi
Inaweza kuwa dalili ya: Upungufu wa madini ya Zinki
Vyakula vinavyoweza kukusaidia kupambana na hali hiyomchicha, korosho na unga wa kakao
Harufu mbaya mdomoni
Inaweza kuwa dalili ya: Upungufu wa madini ya Chuma
Vyakula vinavyoweza kukusaidia kupambana na hali hiyoZabibu, mbaazi, kifungua kinywa cha nafaka pamoja na maharage ya adzuki
Pua kuwa na mafuta mengi
Inaweza kuwa dalili ya: Upungufu wa vitamini B2 au madini ya Zinki
Vyakula vinavyoweza kukusaidia kupambana na hali hiyo: Parachichi na lozi.
Kichwa kuuma
Inaweza kuwa dalili ya: Upungufu wa vitamin B12, B6 na madini ya Magnesium
Vyakula vinavyoweza kukusaidia kupambana na hali hiyo: Mbegu za maboga, maziwa ya soya pamoja na ndizi mbivu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ZIFAHAMU DALILI ZA MWILI KUKOSA VIRUTUBISHO MUHIMU
ZIFAHAMU DALILI ZA MWILI KUKOSA VIRUTUBISHO MUHIMU
https://1.bp.blogspot.com/-0QFqdQIwl54/WP0bbVL0UHI/AAAAAAAAZ4k/mKWmN6Is3VMpEWED8gypLdqJ3kOltOUvQCLcB/s1600/xMDOMO-KUNUKA-750x375.jpg.pagespeed.ic.Inbj5ZAU4d.webp
https://1.bp.blogspot.com/-0QFqdQIwl54/WP0bbVL0UHI/AAAAAAAAZ4k/mKWmN6Is3VMpEWED8gypLdqJ3kOltOUvQCLcB/s72-c/xMDOMO-KUNUKA-750x375.jpg.pagespeed.ic.Inbj5ZAU4d.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/04/zifahamu-dalili-za-mwili-kukosa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/04/zifahamu-dalili-za-mwili-kukosa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy