AFRIKA KUSINI: KIJANA ALIYEMUUA MPENZI WAKE KWA KUMCHOMA MOTO AKAMATWA NA POLISI

Polisi wa nchini Afrika ya kusini wamethibitisha kumshikilia kijana wa miaka 27  na anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya mpenzi wake Karabo Mokoena mwenye umri wa miaka 22 aliyeripotiwa kupotea wiki mbili zilizopita.
Mwili wa binti huyo ulikuwa ukiwa umechomwa na ilikuwa vigumu kuutambua.
Wanawake wengi wa nchini humo kupitia mitandao ya kijamii walionyesha kukasirishwa na kitendo hicho na kulaumu vitendo vya uonevu dhidi ya wanawake.
Nchi ya Afrika Kusini imeripotiwa kuwa na matukio mengi ya udhalilishaji na vitendo vya uonevu kwa wanawake ikiwamo ubakaji kwa muda mrefu sasa.South Africa:Karabo Mokoena ws reported missing 2wks ago.
her body was found,ex-boyfriend arrested
(Awful)
See: 
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post