AJALI MBAYA IMETOKEA DARAJA LA NJIRO HOLILI MOSHI

TAARIFA zilizotufikia ni kwamba kuna ajali mbaya imetokea muda huu Wilaya ya Moshi  Vijijini ,Mkoani Kilimanjaro eneo la daraja la Njiro- Holili  ambapo gari aina ya Noah inayofanya kazi ya kubeba abiria kati  ya Holili kuelekea Mji mdogo wa Himo .
Taarifa za awali zinasema gari hilo lilipasuka tairi ya mbele ya upande wa dereva na kuweza kupinduka,ambapo shuhuda wa tukio hilo ameiambia Zote kali blog kuwa gari hilo lilikuwa spidi sana ambapo dereva alishindwa kulizuia baada ya kupasuka kwa tairi hilo.
Pia ametuleza kuwa watu wote walikuwa kwenye gari wamejeruhiwa vibaya, tayari majeruhi wamepelekwa katika Hospitali .
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post