ARSENAL YATWAA UBINGWA WA FA, HUKU HATMA YA WENGER IKIBAKIA KITENDAWILI

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema hatma yake itakuwa wazi siku ya Alhamis, baada ya kukiongoza kikosi chake kutwaa ubingwa wa FA.

Kocha huyo raia wa Ufaransa amekuwa kocha wa kwanza kushinda kombe la FA mara saba wakati kikosi chake kikiwafunga mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza Chelsea 2-1.

Wenger mwenye miaka 67 mkataba wake unaisha katika kipindi cha majira ya joto, na kumekuwa na uvumi mkubwa iwapo ataweza kubakia.
                 Wachezaji wa Arsenal wakishangilia ubingwa wa FA kwa kumwaga Champagne
               Mshambuliaji Theo Walcott akikimbia na kombe kushangilia ushindi wa FA 

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post