ARUSHA : WATANO WAFARIKI DUNIA BAADA YA NYUMBA YAO KUANGUKIWA NA MTI

Watu hawa watano wamefariki baada ya kuangukiwa na mti kwenye kijiji chaNgiresi kilichopo Kata ya Sokoni mkoaniArusha ambapo kamanda wa Polisi Arusha Charles Mkumboamethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Amesema imetokea usiku wa kuamkia leo May 9, 2017 baada ya mti kuangukia kwenye nyumba iliyokua jirani ambapo chanzo ni mvua na upepo mkali.JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post