ASKARI 1 WA MAREKANI WAUAWA NA WENGINE WAWILI WAJERUHIWA NA AL SHABAAB SOMALIA.

SHARE:

Askari mmoja wa Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika operesheni ya pamoja ya US na jeshi la Somalia dhidi ya ngome ya wanamgamb...

Askari mmoja wa Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika operesheni ya pamoja ya US na jeshi la Somalia dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la al-Shabaab.
Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika (Africom) imeripoti kuwa, mbali na mwanajeshi huyo kuuawa, wengine wawili wamejeruhiwa katika operesheni hiyo iliyofanyika katika eneo la Barii, yapata maili 40 magharibi mwa mji mkuu Mogadishu.
Robyn Mack, Msemaji wa Africom ameliambia shirika la habari la AFP kuwa, wanajeshi hao wa Marekani wameuawa na kujeruhiwa katika operesheni iliyofanyika Mei 4.
Hivi karibuni Rais Donald Trump wa Marekani aliidhinisha kutumwa makumi ya askari wa US nchini Somalia, idadi kubwa kuwahi kutumwa na US katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika, tangu mwaka 1993.
Itakumbukwa kuwa, Marekani iliviondoa vikosi vyake nchini Somalia mwaka 1993, baada ya wanajeshi wake wasiopungua 18 kudhalilishwa kwa kuuawa na kisha miili yao kuburutwa ardhini katika mji mkuu Mogadishu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ASKARI 1 WA MAREKANI WAUAWA NA WENGINE WAWILI WAJERUHIWA NA AL SHABAAB SOMALIA.
ASKARI 1 WA MAREKANI WAUAWA NA WENGINE WAWILI WAJERUHIWA NA AL SHABAAB SOMALIA.
https://4.bp.blogspot.com/-DxV0bLplHOs/WQ_Efqe2PCI/AAAAAAAAa0I/dkWpy6bDIGQr_niAbwQerwcDWlHb7mERQCLcB/s1600/1494052924-4bmvb7e23b61ffny7k_800C450.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-DxV0bLplHOs/WQ_Efqe2PCI/AAAAAAAAa0I/dkWpy6bDIGQr_niAbwQerwcDWlHb7mERQCLcB/s72-c/1494052924-4bmvb7e23b61ffny7k_800C450.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/askari-1-wa-marekani-wauawa-na-wengine.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/askari-1-wa-marekani-wauawa-na-wengine.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy