AUDIO: SIKILIZA WIMBO MPYA WA HARMORAPA FT CPWAA & RONEI- NUNDU

Mwanamuzki chipukizi katika muziki nchini Tanzania, Harmorapa baada ya kufanya vizuri na wimbo wake Kiboko Ya Mabishoo aliomshirikisha nguli wa muziki nchini, Juma Nature muite Kiroboto, sasa ameachia wimbo wake mpya.
Jana Harmorapa ameachia wimbo huo ambao amemshirikisha mwanamuziki Cpwaa na Ronei. Wimbo huo unakwenda kwa jina la NUNDU na unaweza kuusikiliza hapa chini.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post