BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) YAIFUTIA LESENI NA KUIFUNGA BENKI NYINGINE

SHARE:

Benki Kuu ya Tanzania imeifungia Mbinga Community Bank PLC, kusitisha shughuli zake zote za kibenki na kufuta leseni yake ya bias...

Benki Kuu ya Tanzania imeifungia Mbinga Community Bank PLC, kusitisha shughuli zake zote za kibenki na kufuta leseni yake ya biashara ya kibenk kuanzia leo Alhamisi 12 mei,2017 huku sababu ikitajwa ni ukata uliyoikumba benki hiyo.
Uamuzi wa kuifungia benk hiyo umekuja baada ya Benki kuu ya Tanzania kujiridhisha kuwa Mbinga Community Bank ina upungufu mkubwa wa mtaji na Ukwasi kinyume cha matakwa ya sheria ya mabenki na taasisi za fedha za mwaka 2006 na kanunui zake.
“Upungufu huu wa mtaji na ukwasi unahatarisha usalama wa sekta ya fedha na kwamba kuendelea kutoa huduma za kibenk kunahatarisha usalama wa amana za wateja “– Taarifa kutoka BoT ilieleza.
Taarifa kutoka Benk kuu ya Tanzania imedai kuwa pamoja na kuifungia benk hiyo tayari imekwisha iweka MbingaBank chini ya bodi ya ufilisi na kuteua bodi ya bima ya  Amana kama mfilisi kuanzia leo tarehe 12 .
Aidha, Benki Kuu imeuhakikishia umma kuwa “itaendelea kulinda maslahi ya wenye amana katika mabenki kwa lengo la kuleta ustahimilivu katika sekta ya fedha.”
Benki Kuu ya Tanzania imewataka wenye amana, wadai na wadaiwa wa iliyokuwa Mbinga Community Bank kuwa wavumilivu kwa Mfilisi, wakati muafaka atawafahamisha wenye amana, wadai na wadaiwa utaratibu wa malipo wa madai, ulipaji wa madeni na taratibu nyingine zitakazohitajika kwa mujibu wa sheria.
Benki Kuu ya Tanzania imechukua uamuzi wa kuifunga benki hiyo kwa mujibu wa kifungu cha 56(1) (g), 56(2) (a), (b) na (d), 58(2) (i), 11(3) (j), 61(1) na 41(a) cha Sheria ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2006.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) YAIFUTIA LESENI NA KUIFUNGA BENKI NYINGINE
BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) YAIFUTIA LESENI NA KUIFUNGA BENKI NYINGINE
https://1.bp.blogspot.com/-FMMW99Leon0/WRWq3iK_vMI/AAAAAAAAbHU/Qhx-nfI72m8F6kbnQsBJxc471ghvl2lFQCLcB/s1600/xBank_of_Tanzania_golden_hour-750x375.jpg.pagespeed.ic.04r3sOeoVO.webp
https://1.bp.blogspot.com/-FMMW99Leon0/WRWq3iK_vMI/AAAAAAAAbHU/Qhx-nfI72m8F6kbnQsBJxc471ghvl2lFQCLcB/s72-c/xBank_of_Tanzania_golden_hour-750x375.jpg.pagespeed.ic.04r3sOeoVO.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/benki-kuu-ya-tanzania-bot-yaifutia.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/benki-kuu-ya-tanzania-bot-yaifutia.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy