BONDIA FLOYD MAYWEATHER ANOGEWA NA MCHEZO WA MPIRA WA KIKAPU

Baada ya kuuteka ulimwengu wa ngumi duniani kwa kupigana mapambano 49, bondia aliyestaafu ngumi, Floyd Mayweather, sasa ameelekeza macho yake katika Ligi Kuu ya Kikapu Marekani NBA.

Mayweather aliyestaafu 2015 anayehusishwa zaidi kurudi ulingoni kuzichapa na bingwa wa UFC, Conor McGregor, amekuwa akionekana mara kwa mara akiwa kwenye viwanja vya mpira wa kikapu Marekani hivi karibuni.

Bondi huyo alitupa posti ya picha yake akiwa na mkongwe wa mpira wa Kikapu Magic Johnson, ambaye kwa sasa ni rais wa uendeshaji wa Kikapu katika timu ya Los Angeles Lakers, na amesema anahamu ya kununua hisa za timu za kikapu.
                                        Bondia Floyd Mayweather akisalimiana na Magic Johnson
              Bondia Floyd Maywether akifuatilia mechi ya mpira wa kikapu huku akisikiliza simu

                        Bondia Floyd Maywether akiwa amepozi huku akifuatilia mpira wa kikapu
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post