BREAKING: JONAS MKUDE WA SIMBA APATA AJALI YA GARI

Kiungo wa Klabu ya Soka ya Simba, Jonas Mkude amepata ajali ya gari leo wakati akirudi jijini Dar es Salaam kutoka Dodoma ambapo walikwenda kushiriki fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Mbao FC.
Mkude ambaye pia ni Nahodha wa Simba amepatiwa huduma ya kwanza na sasa anapelekwa Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
Image result for Jonas Mkude SimbaJonas Mkude
Majeruhi wengine wawili waliokuwemo kwenye gari hiyo wamewahishwa hospitali mkoani Morogoro kwa ajili ya matibabu.
Ajali hiyo imetokea baada ya tairi ya gari ya nyuma kupasuka.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post