BREAKING: WANAFUNZI 24 WAZAMA ZIWA VICTORIA MKOANI GEITA

Jana jioni wanafunzi 24 wa  Shule ya Msingi Butwa walizama ndani ya Ziwa Victori baada ya mtumbwi waliokuwa wakiutumia kuzama.
Wanafunzi 21 wameokolewa katika ajali hiyo ambapo waliosalia watatu hawakuonekana hadi baada ya muda kid0go ambapo miili yao iliopolewa wakiwa tayari wamefariki dunia.
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Herman Kapufi amesema kuwa wanafunzi hao walikuwa kwenye mtumbwi ambao walikuwa wakiutumia kuvuka walipotoka shule.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post