DC KASESELA ATOA WIKI MBILI KUFANYIKA MIKUTANO YA HADHARA KATA MLANDEGE

SHARE:

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa na viongozi mbalimbali wa Manispaa ya Iringa kama Naibu Meya Joseph Lyata na mbunge wa vi...

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa na viongozi
mbalimbali wa Manispaa ya Iringa kama Naibu Meya Joseph Lyata na
mbunge wa viti Maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi CCM
Ritta Kabati wakisikiza hoja za wananchi wa Kata ya mlandege
KAS3
Na Fredy Mgunda, Iringa 

Watendaji wa kata ya mlandege wamepewe wiki mbili kuitisha mikutano ya kusoma mapato na matumizi ya kila mitaa ili kupunguza na kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wao. 

Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela aliwataka viongozi kufanya kazi kwa umakini na kuitisha mikutano ya hadhara kwa wakati ili kupunguza kero zinazowakabili. 

“Wananchi wa Kata hii wanakero nyingi ambazo viongozi wa Kata mnaweza kuzitatua sio lazima zinifikie mimi huku,nawaombeni sana viongozi fanyeni kazi la sivyo nitawachukulia hatua mara moja”alisema Kasesela 

Kasesela alisema kuwa kata ya mlandege haina changamoto nyingi ili changamoto hizo zinasababishwa na viongozi wa Kata kwa kutofanya mikutano ya hadhara kwa wakati. 

Aidha Kasesela alisema kuwa ataendelea kutatua kero zote kwa wananchi kwa kuwa yeye ni kiongozi wa wananchi na ameletwa na Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kufanya kazi kwa wananchi. 

Kero nyingine zilizokuwa hapa Kata ya mlandege zitatatuliwa wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa atazitatuwa kulingana na mipango iliyopo serikalini. 
Kasesela alimuomba mbunge wa viti maalumu mkoa wa Iringa Ritta Kabati kuzipeleka bungeni baadhi kero ambazo zipo juu ya uwezo wao kama kero ya maji,ardhi na swala Mipangomiji. 

Kwa upande wake mbunge wa viti Maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati alisema kuwa ameyapokea na anayapeleka bungeni kuyatatua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi wa kero za wananchi. 

“Nimekuja hapa kwenye mkutano hadhara kuzichukua kero hizi ili nizipeleke sehemu husika na mimi nitafanya kazi kwa kujituma ili kuisaidia Manispaa ya Iringa kuwa na maendeleo ya haraka sana”alisema Kabati 

Naye Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Dk Mafwele alisema kuwa amezisikia kero zote na atazifanyia kazi kwa umakini mkubwa ili kuboresha maisha ya wananchi wa Manispaa ya Iringa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: DC KASESELA ATOA WIKI MBILI KUFANYIKA MIKUTANO YA HADHARA KATA MLANDEGE
DC KASESELA ATOA WIKI MBILI KUFANYIKA MIKUTANO YA HADHARA KATA MLANDEGE
https://4.bp.blogspot.com/-yK8WB5ma-mo/WQtgrAXi_RI/AAAAAAAADPE/1huW55Ce1b4Ev-wdZy5xOiErexCVYM9hgCLcB/s640/IMG_20170504_171018.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-yK8WB5ma-mo/WQtgrAXi_RI/AAAAAAAADPE/1huW55Ce1b4Ev-wdZy5xOiErexCVYM9hgCLcB/s72-c/IMG_20170504_171018.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/dc-kasesela-atoa-wiki-mbili-kufanyika.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/dc-kasesela-atoa-wiki-mbili-kufanyika.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy