DOGO JANJA : MWANAMKE AKINIHONGA NAMUACHA

Msanii Dogo Janja amefunguka na kusema katika maisha yake yeye hajawahi kufikiria kumtegemea mwanamke kuendesha maisha yake bali amekuwa akipambana mwenyewe kupigana na maisha huku akidai endapo mwanamke wake akimuhonga yupo tayari kumuacha.
Dogo Janja anasema Unajua kuvaa ni kitu kinachotoka damuni, siyo kuvaa vizuri lazima unapata pesa kwa mwanamke ‘No’ kwanza mimi sijawahi kuamini kupitia pesa ya mwanamke, hata nikiwa na mwanamke akinipa hela huwa namuacha kwa sababu sijawahi kupenda kuingwa king’asti, au kufugwa mimi naamini kula nguvu yangu, naamini kula jasho langu kwa hiyo hilo na kulelewa halipo
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post