FAHAMU JINSI YA KUHAKIKI WA BIMA YA GARI NA PIKIPIKI KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI

SHARE:

Kamishna wa Bima nchini Dkt.Boghayo Saqware akiwa anazungumza na wauza bima,madalali wa bima,mawakala wabima,wauza bima,jeshi la polisi k...

Kamishna wa Bima nchini Dkt.Boghayo Saqware akiwa anazungumza na wauza bima,madalali wa bima,mawakala wabima,wauza bima,jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani, viongozi wa vyama vya wamiliki wa mabasi pamoja na umoja wa waendesha pikipiki.Picha na Vero Ignatus Blog.
Meneja wa Mamlaka ya usimamizi wa Bima (TIRA)Kanda ya kaskazini Eliezer Rwekiza akizugumza katika uzinduzi huo wa uhakiki wa Bima kwa njia ya simu ya mkononi,uliofanyika Jijini Arusha leo,wa kwanza kulia ni Kamisha wa Bima Taifa Dkt.Boghayo Saqware,akifuatiwa na aliyepo kulia kwake ni Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Nuru Suleiman

Meneja waTEHEMA kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA)Aron Mlaki akiwa anawonyesha namna ya kutambua Bima kama ni halali au ni feki kwa kutumia simu ya mkononi .Picha na Vero Ignatus Blog.
Mkurugenzi wa masoko kutoka Mamlaka ya usimamizi wa Bima (TIRA) Bi.Adelaida Muganyizi akiwa anazungumza na wauza bima,madalali wa bima,mawakala wabima,wauza bima,jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani, viongozi wa vyama vya wamiliki wa mabasi pamoja na umoja wa waendesha pikipiki.
Baadhi ya washiriki mbalimbali waliohudhuria kwenye uzinduzi huo mfumo wa kuhakiki Bima kwa njia ya simu ya mkononi.
Afande James Manyama ambaye amemuwalikisha kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha akizugumza katika uzinduzi huo.

Mwanasheria wa Mamlaka ya usimamzi wa Bima (TIRA) Arthur Mbena akiwa anawaelekeza wa kikosi cha usalama barabarani namna ya kutambua Bima kama ni halali au feki kupitia simu ya mkononi kwenye gari kama linavyoonekana pichani.
Meneja wa TIRA Kanda ya Kaskazini Eliezer Rwekiza (aliyevaa koti suti nyeusi)akiwa anamuelekeza dereva wa gari lililopo nyuma yao namna ya kutambua kama Bima iliyopo kwenye gari lake ni halali,ambapo gari Ehilo lilikuwa na Bima hal
ali.

Elimu ikiendelea kutolewa namna ya kutabua Bima feki au halali kwa kutumia simu ya mkononi uliozinduliwa leo Jijini Arusha na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA)Picha na Vero Ignatus Blog.
Meneja wa TEHAMA kutoka Mamlaka ya Usiamizi wa Bima (TIRA)Aron Mlaki akitoa elimu kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani namna ya kutambua Bima feki au halali ,ni ya kampuni gani,Bima gari la matumizi gani,aina gani ya bima kubwa au ndogo.Picha na Vero Ignatus Blog.
Na.Vero Igantus.Arusha
Mamlaka ya usimamizi wa Bima nchini(TIRA)imezindua mfumo wa uhakiki wa Bima kwanjia ya simu za mkononi kanda ya Kaskazini ambapo zoezi hilo limeambatana na ukaguzi wa bima kwenye vyombo vya moto na kubaini bima feki katika baadhi ya magari na pikipiki.
Akizindua mfumo huo kwa kanda ya kaskazini uliofanyika jijini Arusha Kamishna wa Bima Nchini Dkt.Boghayo Saqware amesema kuwa kampeni yao ina laengo la kuondoa bima feki sokoni ambazo zinazouzwa ama kutengenezwa na wahalifu ,ambalo kwa mujibu wa sheria wanafanya kosa la jinai.
“Tumeanzia Pwani na sasa tupo Arusha na zoezi hili litakuwa endelevu,kwahiyo tunawaasa wananchi wanunue bima halali,tumezindua mfumo ambao ni rahisi kwa mtu anaenunua bima kujihakikishia kuwa bima hiyo ni feki au halali .”alisema Dkt.Boghayo.
Kamishna huyo amesema kuwa kwa miaka( 3) kesi (10) za Bima feki ziliamuliwa ,watu(5) walihukumiwa kifungo jela,(2) wamelipa bilioni 20,000,000, hadi 40,000,000,mashauri ya jinai yaliyopo mahakamani yalifunguliwa mwaka 2016 Mbeya(1) Mafinga(2) Mara(1) na Dar es salaam (3) na kufikia jumla ya kesi mpya 7,ambapo mashauri yaliyopo kwenye uchunguzi wa polisi ni (10).
Kwa upande upande wake Meneja wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Kanda ya kaskazini Eliezer Rwekiza amesema kuwa zoezi hilo katika Jiji la Arusha litaendelea kwa wiki nzima ambapo wataelekea Kilimanjaro ,Tanga ambapo amesema kuwa 10% ya magari hapa nchini Tanzania hayana Bima halali,amesema hadi sasa hapa nchini kuna makampuni 31 ya Bima,mawakala 500 madalaliwa Bima ni zaidi ya 100.
“Kuna mtu akienda kukata Bima anakuwa hajui kuwa hiyo ni feki,na kuna mwingine aknajua kuwa hiyo ni feki na nashirikiana na yule anayemkatia,hivyo akibainika anafutiwa leseni mkatajia halafu taratibu nyingine za kisheria zinafuata kwani kwa utafiti ulikwisha kufanyika Jiji la Arusha ni la pili kwa kuongoza kwa pima feki huku Jiji la Dar es salaam kinara”alisema Rwekiza.I
Naye meneja wa Tehama Aron Mlaki (TIRA)ameelezea namna ambavyo mtu anaweza kuhakiki Bima kwa njia ya simu ya mkononi ambapo amezitaja njia kuu mbili ambazo ni inaweza kuwa kwa intaneti au njia ya ujumbe mfupi wa maneno.
“Kwa njia ya inteneti (una sechi mis.tira.go.tz ,utaletewa mahali pa kujaza ,hakiki stika kisha ukishahakiki stika inakuja ingiza namba za stika halafu bonyeza hakiki,utaletewa maelezo ya bima yako kama ni halali au feki,

Kwa njia ya ujumbe mfupi (unaandika maneno stika unaweka namba ya bima kwa tarakimu zisizozidi 7 unatuma kwenye namba 15200 na hii ni kwa mitandao ya Vodacom na Tigo peke yake.”

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: FAHAMU JINSI YA KUHAKIKI WA BIMA YA GARI NA PIKIPIKI KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI
FAHAMU JINSI YA KUHAKIKI WA BIMA YA GARI NA PIKIPIKI KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI
https://1.bp.blogspot.com/-o8vq9q2voB8/WRwITLz4IRI/AAAAAAAAbXM/wWGEnqtmHy8oUv03rnIWmVN7MwFoDCNmgCLcB/s1600/IMG_0744.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-o8vq9q2voB8/WRwITLz4IRI/AAAAAAAAbXM/wWGEnqtmHy8oUv03rnIWmVN7MwFoDCNmgCLcB/s72-c/IMG_0744.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/fahamu-jinsi-ya-kuhakiki-wa-bima-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/fahamu-jinsi-ya-kuhakiki-wa-bima-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy