FAHAMU MADHARA YA AKILI KWA VIJANA YATOKANAYO NA MTANDAO WA INSTAGRAM

SHARE:

Instagram imeorodheshwa kuwa mtandao wa kijamii ambao una madhara zaidi kwa afya ya kiakili ya vijana. Katika utafiti uliofanyiwa nchin...

Instagram imeorodheshwa kuwa mtandao wa kijamii ambao una madhara zaidi kwa afya ya kiakili ya vijana.
Katika utafiti uliofanyiwa nchini Uingereza, vijana 1,479 wa miaka kati ya 14 na 24 waliombwa kueleza utathmini wao kuhusu mitandao mbalimbali ya kijamii kwa kuzingatia wasiwasi, mfadhaiko, upweke, dhuluma na sifa za kimwili.
Instagram ndiyo iliyoongoza kwa kuwa na madhara zaidi.
Instagram hujiuza kama jukwaa salama na la kusaidia vijana.
Mashirika ya hisani kuhusu afya ya kiakili yametoa wito kwa kampuni kuimarisha usalama wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii.
Utafiti huo uliofanywa na taasisi ya Royal Society for Public Health unasema mitandao ya kijamii inafaa kutambua watu wanaotumia mitandao ya kijamii kwa kupitiliza na pia wale wenye matatizo ya kiakili.
Instagram husena huwa ina huduma na habari za kuwasaidia watu kukabili wanaotekeleza dhuluma na pia hutahadharisha watu kabla ya kutazama ujumbe, picha au video zenye madhara.
Inakadiriwa kwamba 90% ya vijana hutumia mitandao ya kijamii, na hivyo ndio huathirika zaidi.
Utafiti huo wa mtandaoni uliwauliza washiriki maswali kuhusu iwapo YouTube, Instagram, Snapchat, Facebook na Twitter zina madhara kuhusu afya yao na hali yao.
Washiriki walitakiwa waipe alama mitandao ya kijamii kuhusu masuala 14 ya afya na hali yao.
Kwa kufuata vipimo vyao, YouTube ilichukuliwa kuwa yenye manufaa mengi zaidi zaidi katika afya ya kiakili, ikifuatwa na Twitter na kisha Facebook.
Snapchat na Instagram zilikuwa na alama za chini kabisa kwa jumla.
Shirley Cramer, afisa mkuu mtendaji wa RSPH, alisema: “Inashangaza kuona Instagram na Snapchat zikiorodheshwa kuwa na madhara zaidi kwa afya ya kiakili na hali nzuri ya vijana – majukwaa haya mawili sana huangazia sura na sifa nzuri na mtu. Mitandao hii miwili inaonekana kuwafanya vijana wengi wajihisi kwamba hawatoshi au wana mapungufu fulani na hivyo kuwaongezea wasiwasi.”

Wataalamu wanataka hatua kadha zichukuliwe zikiwemo

  • Watu kutahadharishwa wanapokaa katika mtandao wa kijamii sana (vijana 70 waliohojiwa waliunga mkono hilo)
  • Wanaobainika kuwa na matatizo ya kiakili watambuliwe na waelekezwe kwenye majukwaa ambayo wanaweza kupata usaidizi
  • Mitandao ya kijamii kueleza picha ambazo zimehaririwa sana – mfano zinazotumiwa katika mauzo ya bidhaa, picha za wasanii na kadhalika. Mashirika ya matangazo yanaweza pia kutumia alama maalum kuonyesha picha zilizohaririwa sana kwa hiari.
Chanzo: bbcswahili

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: FAHAMU MADHARA YA AKILI KWA VIJANA YATOKANAYO NA MTANDAO WA INSTAGRAM
FAHAMU MADHARA YA AKILI KWA VIJANA YATOKANAYO NA MTANDAO WA INSTAGRAM
https://4.bp.blogspot.com/-T8iaUwb1Xt8/WR86DjsVOpI/AAAAAAAAbiE/O2rj4un1GXYEM2rMl50FywkYbf5ey--CACLcB/s1600/xInstagram-2-518x375.jpg.pagespeed.ic.CVz9sj7LeP.webp
https://4.bp.blogspot.com/-T8iaUwb1Xt8/WR86DjsVOpI/AAAAAAAAbiE/O2rj4un1GXYEM2rMl50FywkYbf5ey--CACLcB/s72-c/xInstagram-2-518x375.jpg.pagespeed.ic.CVz9sj7LeP.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/fahamu-madhara-ya-akili-kwa-vijana.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/fahamu-madhara-ya-akili-kwa-vijana.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy