FAHAMU SASA HIVI NDIO VIATU VINAVYOTUMIA BLUETOOTH

Sneakerairs ndio viatu vilivyotengenezwa vikiwa na teknolojia ya bluethooth ndani yake, yenye uwezo wa kukuelekeza mahali unapoenda.
Viatu hivyo viitwavyo Sneakerais, vina sensor ya umeme ndani yake. Kampuni ya Easy Jey ndio imetengeneza viatu hivyo kwa kutumia teknologia ambayo itakuelekeza uendapo unapotembea, kwa kuunganishwa na simu yenye teknolojia ya bluetooth, na kifaa hicho kwenye viatu hivyo.Insemekana, teknolojia hiyo ni ili kusaidia kupunguza kasi ya watu kupotea.
Viatu hivi vimefanyiwa majaribio nchini Brazil kwa mara ya kwanza na vitaingizwa sokoni siku za mbeleni kwa ajili ya watu kuvinunua na kuvitumia kwa matumizi binafsi.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post