FIFA YACHUNGUZA UHAMISHO WA MCHEZAJI PAUL POGBA

Uhamisho wa Paul Pogba, ulioweka rekodi dunia kutoka Juventus kuja Manchester United mwaka jana unafanyiwa uchunguzi na Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA).

Shirikisho la Soka Duniani limeiandika klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Uingereza kutaka ufafanuzi juu ya makubaliano yalivyofikiwa.

Fifa inatilia shaka namna kitita cha paundi milioni 89.3 cha uhamisho wa Pogba, kilivyogawanywa kwa wahusika.

Hii ni baada ya kubainishwa na Sportsmail, kuwa wakala wake Mino Raiola alipata paundi milioni 41.

                                                                Wakala wa Paul Pogba Mino Raiola
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post