GEITA:WANAKIJIJI WAANDAMANA KUPINGA MWEKEZAJI KUJENGA KIWANDA CHA KUCHENJULIA DHAHABU KARIBU NA CHANZO CHA MAJI.

SHARE:

Wanakijiji wa Kijiji Cha Hililika Kata ya Nyarugusu wakiandamana kuelekea kwenye eneo ambalo mwekezaji anajenga kiwanda kwaajili ya shugh...

Wanakijiji wa Kijiji Cha Hililika Kata ya Nyarugusu wakiandamana kuelekea kwenye eneo ambalo mwekezaji anajenga kiwanda kwaajili ya shughuli za uchinjuaji wa Dhahabu.
Wanakijiji wakishirikiana kuziba Eneo la Bara bara ya kuelekea kwenye kiwanja ambapo ndiko ujenzi unaendelea.
Wakinamama wa Kijiji wakishiriki maandamano ya kupinga ujenzi wa Kiwanda cha Uchenjuaji Kijijini Hapo.
Kisima cha Kijiji ambacho kinategemewa na wananchi ambacho ndicho ambacho wamelalamikiwa uwezekano wa maji yake kuharibika kutokana na shughuli za madini.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Hililika Bw,Daniel Mwigulu Nkela  ambaye analalamikiwa na wananchi kukubaliana na mwekezaji kwenye eneo hilo bila ya kuwashirikisha akizungumza na wananchi juu ya uwamuzi huo ambao ulifanyika
Wananchi wakizidi kuonesha msimamo wao wa kutokukubalinana na kile ambacho Mwenyekiti alikisema.
Moja kati ya wananchi wa kijiji cha Hililika akizungumzia uwamuzi wao wa kuandamana.
Bwawa la Maji la Kunyweshea mifugo likiwa kwenye eneo ambalo ni karibu na sehemu ya Kiwanda cha kuchenjulia Dhahabu.
………………………………………………………
Wananchi wa Kijiji cha Hililika Kata ya Nyarugusu Wilaya na Mkoa wa Geita  wameandamana kupinga mwekezaji kuweka kiwanda cha kuchenjulia Dhahabu kwa madai kuwa chanzo cha maji ambacho wanakitegemea kijijini hapo kipo karibu na planti ambayo inajengwa na kwamba inaweza kusababisha
madhara ya afya kutokana na Kemikali yaCyanide  ambayo hutumika kwenye shughuli za uchenjuaji.
 
Wakizungumza na mtandao wa maduka online kwa vipindi Tofauti wamesema kuwa hofu kubwa waliyonayo
ni kutokana na sumu  ya kuchenjulia dhahabu kwani ni hatari kwa afya zao na viumbe ambavyo vinazunguka maeneo ambayo wanafanyia kazi.
 
“Sehemu hii ni karibu sana na eneo ambalo tunachotea maji sasa kama wakiweka hicho kiwanda
sisi wananchi tutakuwa kwenye hali gani hebu serikali ijaribu kulitazama swala hili kwa umakini zaidi tutaisha kutokana na sumu ya kuozesha marudio”Alisema Bi,Hellen Mbaru.
“Sawa eneo hili ni la mtu Binafisi na lipo ndani ya kijiji cha Hililika na kwamba tunaambiwa kuwa watawapa angalizo wawekezaji ndani ya mwaka mmoja endapo kama kuna maafa ambayo yatajitokeza watawafukuza kweli na hali hii jamani hadi watu wadhurike ndio tahadhili ichukuliwe mimi naomba sana serikali ilitazame hili”Alisema
 
Hata hivyo lawama nyingi zimemwangukia Mwenyekiti wa Kijiji kuwa amehusika kwa kiasi
kikubwa Kwa kuchukua rushwa kutoka kwa mwekezaji na kwamba kwa sasa hawana
imani naye hali ambayo imesababisha kufunga ofisi ya Kijiji.
 
Kutokana na hali hii askari Polisi wamefika kwenye eneo hilo na kumshauri Mwenyekiti wa
Kijiji hicho ambaye alifika kwenye eneo hilo kuona umuhimu wa kuwasikiliza wananchi na kusitisha ujenzi wa Planti hiyo.
 
Hata hivyo Mwenyekiti wa Kijiji hicho Daniel Mwigulu Nkela,amesema kuwa maamuzi ambayo
yalichukuliwa hayakuwa ya peke yake bali ni ya wajumbe wote ambao waliridhian eneo hilo.
 
“Maana ya serikali kuna wajumbe 25 mimi kama mwenyekiti sina mamlaka ya kuidhinisha eneo
hili peke yangu mwekezaji anapotaka kuingia tunaitisha serikali ya kijiji inakaa na inapokaa kuna kuwa na mahojiano kati ya mwekezaji na wajumbe wa  serikali ya kijiji mimi kazi yangu ni kulinda maadhimio kikao tu sina mamlaka ya kuhidhinisha eneo lolote lile”Alisema
Mwigulu.
 
Maduka online imemtafuta mwekezaji wa eneo hilo kutaka kujua makubaliano yake na serikali ya kijiji ambapo moja kati ya wasimamizi wa eneo  wamegoma kuzungumzia swala hilo na kwamba
anaye weza kuzungumzia swala hilo ni meneja wao ambaye yupo Mwanza kwa sasa hata hivyo jitihada bado zinaendelea kujua makubaliano yalikuwaje.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: GEITA:WANAKIJIJI WAANDAMANA KUPINGA MWEKEZAJI KUJENGA KIWANDA CHA KUCHENJULIA DHAHABU KARIBU NA CHANZO CHA MAJI.
GEITA:WANAKIJIJI WAANDAMANA KUPINGA MWEKEZAJI KUJENGA KIWANDA CHA KUCHENJULIA DHAHABU KARIBU NA CHANZO CHA MAJI.
https://3.bp.blogspot.com/-oVUGGiqO7To/WQuOqPFDduI/AAAAAAAAajE/wudwla5zS7YK_GMuLPbNyAL_xo5vg3B2ACLcB/s1600/DSC_0192.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-oVUGGiqO7To/WQuOqPFDduI/AAAAAAAAajE/wudwla5zS7YK_GMuLPbNyAL_xo5vg3B2ACLcB/s72-c/DSC_0192.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/geitawanakijiji-waandamana-kupinga.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/geitawanakijiji-waandamana-kupinga.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy