HALMASHAURI KUU YA CCM PWANI YALAANI WATU 16 KUTISHIWA KUUAWA/MAUAJI KIBITI

SHARE:

Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )mkoani Pwani, dk.Zainab Gama ,akizungumza baada ya kikao cha halmashauri kuu ya CC...

Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )mkoani Pwani, dk.Zainab Gama ,akizungumza baada ya kikao cha halmashauri kuu ya CCM mkoani hapo (picha na Mwamvua Mwinyi )
pwan2
Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )mkoani Pwani, dk.Zainab Gama ,aliyeketi katikati akitoa tamko la halmashauri kuu ya CCM mkoani humo kulaani vitendo vya mauaji ,wa kulia ni mwenyekiti wa UVCCM mkoani Pwani, Mohammed Nyundo.(picha na Mwamvua Mwinyi)
…………………………………………………………………………
Na Mwamvua Mwinyi ,Pwani
HALMASHAURI kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),inasikitishwa kupokea taarifa ya baadhi ya viongozi wa serikali na wanachama wake 16 kutishiwa kuuawa huko wilaya ya Kibiti,Rufiji na Mkuranga .
Aidha imeeleza hadi sasa viongozi wa serikali 14 na wanaCCM 13 na kuweka idadi ya 27 wameuawa katika kipindi cha mwaka mmoja ambapo vitendo vya mauaji vimetokea .
Mbali ya hilo ,watu saba walijeruhiwa na kunusurika kifo kati yao wanne ni wanaCCM.
Kutokana na hali hiyo ,wajumbe wa halmashauri hiyo ,may 27 walitoa tamko la kulaani vikali mauaji yaliyotokea katika maeneo hayo .

Katibu wa siasa na uenezi wa CCM mkoani Pwani ,Zainab Gama ,alisema wametaarifiwa kutishiwa kuuawa kwa viongozi 16 kati yao 10 wakiwa wana CCM .
Kwa mujibu wake ,kuendelea kwa matukio hayo kunasababisha watu wajenge hofu ya kushindwa kufanya shughuli za kiuchumi.

“Watu wanatishiwa hadi misibani ,wanafunga maduka na kuingia majumbani saa 12 kwa kuogopa ,haya sio maisha mazuri lazima tumuogope mungu” alisema Zainab .
Alielezea ,watu hawana hatia ,lakini wamekuwa wakitishiwa kuuawa bila kujua kosa lao .
Zainab alisema ,watanzania wawe wazalendo ,wawe na hofu ya mungu na kupendana ili kuishi kwa amani .

Alibainisha ,CCM ina imani kubwa na serikali chini ya Rais dk .John Magufuli ,na jeshi la polisi inavyoendelea kupambana na vitendo vya mauaji .
“Tunaimani kwa hatua iliyofikia hadi sasa na juhudi zinazofanyika ili kuhakikisha hali hiyo inamalizika ” alisema .

Pamoja na hayo ,aliipongeza serikali kwa kuanzisha kanda maalum ya kipolisi 
Zainab aliwaomba wananchi na wanaCCM wasitishwe wala kuogopa ama kurudi nyuma juu ya matukio hayo kwa kuwa serikali inalishughulikia suala hilo.
Aliwasihi wananchi na wanachama kushirikiana na Polisi na serikali kuwafichua watu wanaowatilia shaka .

Alipoulizwa kuhusiana na ombi la wananchi la kuomba vyama vya siasa ikiwemo  CUF na CCM kukaa meza moja kupambana na jambo hilo linaloonekana harufu ya itikadi za kisiasa .”Zainab alijibu ni suala la ngazi ya juu hawezi kulisemea .

Nae mwenyekiti wa jumuiya wa vijana ya chama cha mapinduzi (UVCCM),Mohammed Nyundo ,alibainisha jukumu la ulinzi ni la kila mmoja hivyo wananchi watambue umuhimu wa kuwataja watu wasio wema ili wachukuliwe hatua za kisheria .
Alieleza inasikitisha kuona jamii inashindwa kufanya shughuli za kiuchumi na kusababisha kuyumba kimaendeleo .

Nyundo ,aliwasihi wanaCCM kuondoa shaka kwenye nafsi zao na kusimamia chama kwani hakuna refu lisilo na ncha .

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: HALMASHAURI KUU YA CCM PWANI YALAANI WATU 16 KUTISHIWA KUUAWA/MAUAJI KIBITI
HALMASHAURI KUU YA CCM PWANI YALAANI WATU 16 KUTISHIWA KUUAWA/MAUAJI KIBITI
https://2.bp.blogspot.com/-92W3tlTKdQg/WSqj_Fhg6zI/AAAAAAAAb94/6IRd7f0nIv4hFde2djLGF8J_q8fTiziCACLcB/s1600/pwan1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-92W3tlTKdQg/WSqj_Fhg6zI/AAAAAAAAb94/6IRd7f0nIv4hFde2djLGF8J_q8fTiziCACLcB/s72-c/pwan1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/halmashauri-kuu-ya-ccm-pwani-yalaani.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/halmashauri-kuu-ya-ccm-pwani-yalaani.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy