HANSCANA AFIKIA MALENGO ALIYOJIWEKEA MWAKA HUU

Director anayetamba kwa kutoa video kali kwa sasa Bongo, Hanscana amejikuta akifikia malengo aliyojiwekea kwa mwaka huu ya kutoa video 12 ikiwa imesalia miezi sita na siku kadhaa kabla ya mwaka 2017 kumalizika.
Hanscana
Kupitia mtandao wake wa kijamii wa instagram, Hanscana aliandika “Mwaka 2017 niliplan kushoot video 12 tuu, nilitangaza hivyo mwanzoni mwa January ila mpaka inafika February almost nilikuwa full booked kwa videos mara tatu ya idadi, na from January mpaka sasa nishatoa video 11 na kufanya video 26 From January (NDEGE HAZIPAI) ni jambo la kumshukuru Mungu pia pamoja na wateja wangu but tuyaache hayo.
“Leo usiku inatoka video ya 12 kutoka kwa msanii ambae tangu tuanze kufanya kazi pamoja hajawahi shoot kwingine hata kwa bahat mbaya. Na skendo ya kumpendelea machupa ila skendo ya yeye kunipendelea bajet bado haijaongelewa,” aliandika Hanscana.

By Peter Akaro
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post