HARMORAPA ATANGAZA UJIO WA NGOMA YAKE MPYA, ADAI ITAZIMA NYIMBO ZA WASANII WA AFRIKA

Harmo Rapa ametanganza ujio wa wimbo wake mpya akidai wimbo huo utazima nyimbo za wasanii wengi Afrika nzima….
Kwenye IG Yake msanii huyu Ameandika hivi..”Mashabiki wangu nawaletea Bomu litakalo sambalatisha ngoma za wasanii wote Africa naposema Bomu simaanishi kabomu ka mkono ka mh #trump hapana namaanisha Bomu LA nyuklia la kiduku linalo milikiwa na kolea kusin so nawakanya na wasanii wote Africa walioficha vinyimbo vyao ndani wavitoe haraka sasa hivi kabla Mimi sijaachia Bomu langu kwani nikiachia hamto sikika๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ #Nunduloading ……….
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post