HIZI NDIO TIMU 3 ZILIZOSHIKILIA UBINGWA WA YANGA

SHARE:

Wakati ligi kuu Tanzania bara ikielekea ukingoni, Yanga ndio timu ambayo ipo kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa ligi msimu huu ukil...

Wakati ligi kuu Tanzania bara ikielekea ukingoni, Yanga ndio timu ambayo ipo kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa ligi msimu huu ukilinganisha na wapinzani wao Simba. Yanga inaongoza ligi kwa wastani mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa lakini wakiwa sawa kwa pointi na Simba wote wakiwa na pointi 62.
Yanga imebakiza mechi tatu kabla ya ligi kumalizika, mechi hizo ndio zitawapa ubingwa au kuwanyima ubingwa. Ikiwa watashinda mechi zote watafikisha pointi 71 pointi ambazo hazitafikiwa na Simba hata kama watashinda mechi zao mbili zilizobaki ambazo zitawafanya wafikishe pointi 68.
Kwa hiyo mechi tatu za Yanga zilizosalia ndio zimeshikilia ubingwa wa 2016-17, ambao kama watautwaa itakuwa ni mara yao ya tatu mfululizo tangu walipochukua msimu wa 2014/2015, 2015/2016 na msimu huu 2016/2017 kama watafanikiwa kuuchukua.
Mechi za Yanga zilizosalia ni:
Yanga vs Mbeya City
Yanga vs Toto Africans
Mbao vs Yanga
Yanga imepoteza mechi tatu tu tangu kuanza kwa msimu huu wa ligi, sare  tano huku ikiwa imeshinda mara 19 kati ya mechi 27 walicheza hadi sasa. Timu sita zimeichangia Yanga pointi sita kila moja kwa maana ya kufungwa mechi mechi zao mbili za nyumbani na ugenini,timu nne zikaichangia pointi nne baada ya kukubali kufungwa mechi moja na mechi nyingine kutoka sare, zipo pia ambazo zimeshachangia pointi tatu kwa maana kwamba zilishinda mechi mechi moja na kufungwa nyingine huku nyingine zikisubiri mechi zao za marudiano.
Lakini zipo zilizochangia pointi moja tu, hii ni baada ya kutoka sare mechi mmoja halafu wakashinda mechi nyingine.
Mbio za ubingwa wa Yanga zimechagizwa na Tanzania Prisons, Majimaji FC , Mwadui FC, Ruvu Shooting, Kagera Sugar na JKT Ruvu ambazo zote zimeipa pointi sita , timu ambazo zimeipa Yanga pointi nne ni pamoja na Ndanda FC, African Lyon, Mtibwa Sugar, Azam FC. Yanga imepata pointi tatu kutoka kwa Toto Africans, Mbao FC, Stand United huku ikiambulia pointi moja kwa Simba SC.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: HIZI NDIO TIMU 3 ZILIZOSHIKILIA UBINGWA WA YANGA
HIZI NDIO TIMU 3 ZILIZOSHIKILIA UBINGWA WA YANGA
https://2.bp.blogspot.com/-NseHmvtDZyg/WRQL03H-3JI/AAAAAAAAbFQ/KYVuuz3B8cUi4O0M9vovn08CxWamDQvdwCLcB/s1600/cf330a66-33b8-4d8d-b0de-3188a4ae0ab8.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-NseHmvtDZyg/WRQL03H-3JI/AAAAAAAAbFQ/KYVuuz3B8cUi4O0M9vovn08CxWamDQvdwCLcB/s72-c/cf330a66-33b8-4d8d-b0de-3188a4ae0ab8.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/hizi-ndio-timu-3-zilizoshikilia-ubingwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/hizi-ndio-timu-3-zilizoshikilia-ubingwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy