JUMA IKANGAA MGENI RASMI DASANI MARATHON

SHARE:

Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Coca Cola Kwanza, Nalaka Hettiarachchi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo ...

Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Coca Cola Kwanza, Nalaka Hettiarachchi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mashindano ya Dasani Marathon yanayotarajia kufanyika Mei 14 mwaka huu Jijini Dar es Salaam,Kushoto kwake ni Rais
wa Chama Cha Wakimbiaji Mkoa wa Dar es Salaam, Goodluck Elvis na kulia kwake ni Mwanariadha wa zamani wa Kimataifa, Juma Ikangaa.
…………………..
Husna Saidi na Jacquiline Mrisho – MAELEZO
MWANARIADHA wa zamani wa Kimataifa, Juma Ikangaa anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya riadha ya Dasani Marathon yanayotarajia kufanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei mwaka huu.
Mashindano hayo ya umbali wa kilometa 10 na 21 yanatarajia kushirikisha zaidi ya wanariadha 1000 kutoka Mikoa mbalimbali nchini.
Hayo yamebainishwa leo Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Coca Cola Kwanza, Nalaka Hettiarachchi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mashindano hayo yaliyolenga kukuza mchezo wa riadha na kujenga afya kwa wanamichezo.
Hettiarachchi alisema kuwa wameamua kudhamini shindano hilo kama njia moja wapo ya kushiriki katika shughuli za kijamii pia kwa sababu lina lengo la kukuza vipaji vya wanariadha wa Tanzania ili kuwawezesha kutamba katika mashindano ya Kimataifa.
“Mashindano haya yatadhaminiwa na kampuni ya Coca Cola kwanza kupitia kinywaji chetu cha maji ya dasani, ambapo wakati wa kukimbia wanariadha watakuwa na wakati wa kupata maji ya kupoza koo” alisema Hettiarachchi.
Kwa upande wake Rais wa Chama Cha Wakimbiaji Mkoa wa Dar es Salaam , Goodluck Elvis alisema mashindano hayo yatashirikisha wakimbiaji wa wanaume na wanawake wa rika tofauti na washindi watajipatia zawadi za fedha taslimu pamoja na medali kwa watakaomaliza mbio.
“Mbio hizo za kilomita 10 na kilomita 21 zitakazoanzia na kuishia katika bwalo la Maofisa wa Polisi – Masaki usajili wake unaendelea kufanyika katika maeneo ya Colosseum Gym, Masaki, Shoppers Supermarket, Mikocheni na Mlimani City Mall,” alisema Elvis.
Aidha, alifafanua kuwa gharama za usajili kwa ajili mashindano hayo ni Tsh. 30,000 kwa kila mshiriki ambapo mshiriki atapatiwa begi na fulana kwa ajili ya kushiriki katika mashindano hayo.
Mashindano hayo yameanzishwa miaka mitatu iliyopita na yameendelea kufanya vizuri mwaka hadi mwaka, Kampuni ya Cocacola inategemea kutoa ufadhili katika mashindano hayo kwa zaidi ya miaka mitano ijayo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: JUMA IKANGAA MGENI RASMI DASANI MARATHON
JUMA IKANGAA MGENI RASMI DASANI MARATHON
https://2.bp.blogspot.com/-6E4P_jB_zJk/WQtP27egdII/AAAAAAAAaiM/o_PG8hyLxJE8I2aOlkfi3bDlcJclLMCiwCLcB/s1600/unnamed-9.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-6E4P_jB_zJk/WQtP27egdII/AAAAAAAAaiM/o_PG8hyLxJE8I2aOlkfi3bDlcJclLMCiwCLcB/s72-c/unnamed-9.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/juma-ikangaa-mgeni-rasmi-dasani-marathon.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/juma-ikangaa-mgeni-rasmi-dasani-marathon.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy