JUVENTUS YATANGULIA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Juventus imetinga kwa mara ya pili fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, katika misimu mitatu kwa ushindi mzuri wa magoli ya jumla 4-1 dhidi ya Monaco.

Ikiwa ilishapata ushindi wa magoli 2-0, timu hiyo ya Italia ilipata goli la kwanza katika mchezo wa jana kupitia Mario Mandzukic baada ya mpira alioupiga kwa kichwa kuokolewa.

Dani Alves aliongeza goli la pili baada ya kuunasa mpira uliopigwa ngumi na kipa Danijel Subasic, huku Monaco ikipata goli pekee kupitia kwa kinda Kylian Mbappe.
                                                  Mario Mandzukic akiifungia Juventus goli la kwanza
                                    Dani Alves akijipinda na kuachia shuti lililoandika goli la pili 

                   Kylian Mbappe akifunga goli kwa shuti la chini lililompita kipa Buffon
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post