KIKONGWE MWENYE UMRI WA MIAKA 146 AFARIKI DUNIA INDONESIA

Mwanaume mmoja anayedai kuwa ndiye mtu mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 146, kijijini kwao Java ya Kati nchini Indonesia.

Kwa mujibu wa nyaraka zake, Sodimedjo, ambaye pia anajulikana kama Mbah Ghoto (Babu Ghoto), alizaliwa mwezi Desemba mwaka 1870.


Lakini Indonesia kwa wakati huo ilikuwa haijanza kuweka kumbukumbu za kuzaliwa hadi mwaka 1900, na kumekuwa na makosa ya uhakika wa umri kabla ya hapo.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post