KIONGOZI MPYA WA KOREA KUSINI MOON JAE-IN AAHIDI KUSHUGHULIKIA UCHUMI

Kiongozi mpya wa Korea Kusini Moon Jae-in ameapishwa na kuahidi kushughulikia uchumi wa nchi hiyo na uhusiano na Korea Kaskazini, katika hotuba yake ya kwanza kama rais.

Bw. Jae-in amesema pia kwamba yupo tayari kuitembelea Korea Kaskazini utakapowaidia wakati muafaka katika kufungua ukurasa mpya baina ya mataifa hayo majirani.


Rais Jae-in ni mwanasheria wa zamani wa haki za binadamu na ni mtoto wa kiume wa Mkimbizi wa Korea Kaskazini ambaye anafahamika kwa misimamo yake huru.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post