KONOKONO AGEUKA DILI BAADA YA KUGUNDULIKA ANATUMIKA KULAINISHA NA KUSAFISHA SURA ZA WANAWAKE

nafahamu sana kuwa wanawake kwa wanaume walio wengi wanahangaika kuondoa chunusi katika nyuso zao na kujaribu kila aina ya madawa ila wameshindwa kuondoa chunusi hizo, na wengine hadi wametumia mbegu za kiume kujipaka usoni kwa kujaribu kuzitoa chunusi ila wapi wameshindwa. Ila wengine hutumia creem na wengine hadi kujichubua ila chunusi bado zinaonekana.

Sasa tatizo hilo la chunusi limeshapatiwa ufumbuzi na haina haja tena ya kuhangaika na macreem kwa ajili ya kuondoa chunusi, Je wajua kuwa Konokono ndio tiba sahihi ya kukufanya wewe uondokane na tatizo la chunusi kabisa?. Basi kuanzia leo jaribu kuchukua ule uteute wa konokono na kuupaka usoni baada ya muda utoe.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post