LEWIS HAMILTON ANAAMINI FERRARI WAMEMFANYA VETTEL KUWA NAMBA MOJA

Dereva wa mbio za langalanga Lewis Hamilton anashawishika kuwa timu ya Ferrari imemteua dereva Sebastian Vettel kuwa dereva namba moja wao.

Vettel ameshinda mbilo za Monaco Grand Prix, baada ya Ferrari kutumia mbinu ya mapumziko ya ukaguzi, kumshinda dereva mwenzake timu yao Kimi Raikkonen.

Hamilton amenukuliwa akisema “Ni wazi Ferrari wamemchangua dereva wao namba moja na wanahakikisha kuwa Sebastian anapata pointi za kutosha katika mbio”.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post