LINAH : NILINUNIANA NA MPENZI WANGU WAKATI NAGUNDUA NINAMIMBA YAKE

Bongo Fleva Diva Linah Sanga amesema hakuwa kwenye maelewano mazuri na mpenzi wake wakati anagundua anaujauzito wake…
Kwenye #FridayNiteLiveEATV na #Sammisago Linah amesema “Nilivyogundua nina ujauzito sikuwa naongea na mpenzi wangu, tulikuwa tumenuniana kwa zaidi ya mwezi mmoja, ila baada ya kujua nina mimba yeye ndio mtu wa kwanza kumpigia simu na kumwambia
Linah ameficha jinsia ya mtoto anayetegemea kujifungua akisema ni SIRI yake kwa sasa.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post