MADEE APOST MANENO HAYA MTANDAONI BAADA YA USHINDI WA ARSENAL DHIDI YA MAN U

Baada ya ushindi mkubwa wa bao mbili bila wa Arsenal dhidi ya Manchester United, staa wa bongo fleva Madee ametumia IG yake kusema maneno haya kwa mashabiki wa Manchester United
Maneno ya Madee yanasema ‘Nafikiri tutaheshimiana leo maana tuna misiba miwili yameambatana na picha ya Madee akiwa amevalia jezi ya Arsenal.
A post shared by Madee (@madeeali) on
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post