MAMLAKA YA CHAKULA (TFDA) IMEFUNGA MACHINJIO 26 DAR ES SALAAM

SHARE:

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imefunga jumla ya machinjio 26 kati ya 55 yaliyokaguliwa katika Mkoa wa Dar es Saalam kufuatia...

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imefunga jumla ya machinjio 26 kati ya 55 yaliyokaguliwa katika Mkoa wa Dar es Saalam kufuatia ukaguzi uliofanywa kati ya mei 2 hadi 12,2017 katika Manispaa za Kinondoni,Ilala,Ubungo na Temeke.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi  Mkuu wa TFDA bw. Hiiti Sillo amesema machinjio zilizokaguliwa ni za ngombe,kuku na nguruwe lengo likiwa ni kuangalia utekelezaji wa sheria ya Chakula,Dawa na Vipodozi Sura 209 hususan kukagua majengo,miundo mbinu,mfumo wa uchinjaji,uendeshaji wa machinjio kama unazingatia kanuni za usafi na mazingira.
Akifafanua Sillo amesema kuwa machinjio mbili za ngombe ambazo ni Vingungiti na Mazizini za Manispaa ya Ilala zimepewa muda wa siku saba kurekebisha mapungufu yaliyobainika hususan uuzwaji wa nyama ndani ya machinjio,uchinjaji usiozingatia uwezo wa machinjio na udhibiti wa watu wasiohusika kuingia ndani ya machinjio.
“Mamlaka ya chakula na Dawa (TFDA) itaendelea kutekeleza jukumu lake la kulinda Afya ya Jamii kwa kuzuia athari zinazoweza kujitokeza kutokana na matumizi ya Chakula,Dawa,Vipodozi, na Vitendanishi” Alisisitiza Sillo
Akizungumzia ufungaji wa machinjio hizo Sillo amesema kuwa Kati ya Machinjio zilizofungwa 1 ni ya ngombe,14 za nguruwe ,11 za kuku kutokana na kukiuka sheria ya chakula Dawa na Vipodozi sura ya 219 na pia kanuni za usafi.
Pia Sillo alishukuru Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi,Bodi ya Nyama,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam, na Ofisi za Afya na Mifugo za Manisapaa za Ilala,Temeke,Ubungo na Kinondoni kwa Kushiriki kikamilifu katika ukaguzi huo.
Aliongeza kuwa Mamlaka ya Chakula na Dawa kwa kushirikiana na vyombo vingine vilivyoshiriki katika Ukaguzi huo inawaelekeza wamiliki wa machinjio zilizofungwa kufanya marekebisho ya mapungufu yaliyobainika ikiwa ni pamoja na kuchukua ramani zilizotolewa na Bodi ya Nyama katika ujenzi wa machinjio yao ili kuendana na matakwa ya sheria za nchi.
Aidha TFDA kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya nyama inaendelea kuchukua hatua mbalimnbali katika kuandaa mpango mkakati wa kuimarisha machinjio nchini ili zote ziwe na viwango vinavyotakiwa kwa mujibu wa sheria.
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kwa mujibu wa sheria ya chakula,Dawa na Vipodozi,sura 219 ina jukumu la kudhibiti ubora na usalama wa Chakula,dawa,Vipodozi na vifaa tiba ili kulinda afya za wananchi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MAMLAKA YA CHAKULA (TFDA) IMEFUNGA MACHINJIO 26 DAR ES SALAAM
MAMLAKA YA CHAKULA (TFDA) IMEFUNGA MACHINJIO 26 DAR ES SALAAM
https://1.bp.blogspot.com/-uZLdMiyF3po/WRm552YQx-I/AAAAAAAAbOc/YwKYNValsDI27dfzhILoRh3mFBWwVgQQgCLcB/s1600/xPIX1-640x375.jpg.pagespeed.ic.dBFaCITavJ.webp
https://1.bp.blogspot.com/-uZLdMiyF3po/WRm552YQx-I/AAAAAAAAbOc/YwKYNValsDI27dfzhILoRh3mFBWwVgQQgCLcB/s72-c/xPIX1-640x375.jpg.pagespeed.ic.dBFaCITavJ.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/mamlaka-ya-chakula-tfda-imefunga.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/mamlaka-ya-chakula-tfda-imefunga.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy