MAUAJI YA RAIA YAENDELEA KUTIKISA MKOA WA PWANI

Mkazi wa kitongji cha Makaravati katika Kijiji cha Umwe Kusini wilayani Rufijii anayeitwa Amri Chanjale (55),  ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake.
Tukio hilo limetokea jana saa 1.30 usiku baada ya watu wasiojulikana kufika kwake na kutekeleza shambulio hilo.
Marehemu huyo ambaye pia ni mwanachama wa CCM ameuawa ikiwa ni baada ya siku tano tokea kuuawa kwa Mohammed Malinda ambaye nae alikuwa ni mwanachama wa chama hicho.
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM wilayani Rufiji, Musa Nyeresa amethibitisha kuuawa kwa mwanachama huyo kwa kupigwa risasi.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post