MBOWE ANAITAKA SERIKALI IWACHUKULIE HATUA LOWASSA NA SUMAYE?

SHARE:

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameitaka serikali kuwachukulia hatua viongozi mbalimbali waliohusika katika kul...

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameitaka serikali kuwachukulia hatua viongozi mbalimbali waliohusika katika kuliingizia serikali hasara ya mabilioni kutoka kwenye sekta ya madini.
Freeman Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro alitoa kauli hiyo katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA mjini Dodoma alipokuwa akizungumzia sakata la mchanga wa madini ambalo limepamba moto kwa sasa nchini.
“Tunafukuza watu kwa makosa yaliyofanywa miaka 15 iliyopita, lakini wale waliofanya makosa wapo uraiani, wapo huru” alinukuliwa Mbowe akizungumza.
Kwa kauli hii ya Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni ni kuwa, baadhi ya waliokuwa viongozi wakuu wa shughuli za serikali wakati mikataba hii ikisainiwa na kazi hizi za usafirishaji wa mchanga ambao ni wananchama wa chama hicho, nao watachukuliwa hatua endapo serikali itaamua kuwashughulia wote waliohusika kwa namna yoyote.
Kama serikali ingekuwa inamchukulia kila mtu hatua tangu mikataba hii iliposainiwa, basi ni dhahiri Mawaziri Wakuu wasataafu Frederick Sumaye na Edward Lowassa ambao nao ni wanachama wa CHADEMA, kwa namna moja au nyingine wangehusika kwani wao pia walikuwa wasimamizi wa shughuli za serikali.
Mbali na  jambo hilo lakini Mbowe alikikosoa pia Chama cha Mapinduzi kuwa kiliingia mikataba mibovu iliyopelekea nchi kupata hasara ya mabilioni. Mbowe alisema kuwa tatizo kubwa katika sekta ya madini ni sheria, ambazo wapinzani wamekuwa wakipiga kelele kila mara kuwa zirekebishwe.
Aidha, Mbowe aliwataka wanachama wa chama hicho kusimama kisawasawa na asiwepo mtu mwenye uwoga wa aina yoyote kwani wamedhamiria kushika dola mwaka 2020.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MBOWE ANAITAKA SERIKALI IWACHUKULIE HATUA LOWASSA NA SUMAYE?
MBOWE ANAITAKA SERIKALI IWACHUKULIE HATUA LOWASSA NA SUMAYE?
https://1.bp.blogspot.com/-bX52CwuOOPM/WSskBphKhcI/AAAAAAAAb-0/w9aFBXV8bcEogqr8GLtZ48kedqjkZu8WgCLcB/s1600/x18698414_622229151303020_7920994513120608811_n-750x375.jpg.pagespeed.ic.CiseOVFXGS.webp
https://1.bp.blogspot.com/-bX52CwuOOPM/WSskBphKhcI/AAAAAAAAb-0/w9aFBXV8bcEogqr8GLtZ48kedqjkZu8WgCLcB/s72-c/x18698414_622229151303020_7920994513120608811_n-750x375.jpg.pagespeed.ic.CiseOVFXGS.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/mbowe-anaitaka-serikali-iwachukulie.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/mbowe-anaitaka-serikali-iwachukulie.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy