MCHUNGAJI ALIYEFARIKI AKUTWA AKIBATIZA KANISANI

SHARE:

Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania  (KKKT) Usharika wa Mbinga, Leonard Kambo ambaye alidaiwa kuuawa na watu watano wa ...

Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania  (KKKT) Usharika wa Mbinga, Leonard Kambo ambaye alidaiwa kuuawa na watu watano wa kanisa hilo amekutwa akitoa ubatizo katika usharika wa KKKT Kitandilo, Makambako, Mkoani Njombe.
Wakati Mchungaji huyo aliyedaiwa kuuawa mwaka 2011 akionekana akitoa ubatizo kanisani, watu waliodaiwa kumuua mchungaji huyo wamo mahabusu tangu mwaka huo 2011.
Ndugu wa watuhumiwa wa mauaji hayo ndio waliohaha kusaka picha ya mchungaji huyo baada ya kupata taarifa kwamba lihamishiwa eneo la Makambako baada ya kutokea tuhuma kwamba ameuawa.
Kwa mujibu wa habari hizo, baada ya ndugu kupata taarifa kwamba mchungaji huyo yupo hai, walitumia kila njia kupata picha yake ili itumike kama ushahidi kwamba yupo hai na tuhuma dhidi ya wauaji si za kweli.
Muumini mmoja wa kanisa hilo alieleza kuwa ndugu wa watuhumiwa hao walihakikisha wanamnasa mchungaji huyo kwa kamera popote alipo ili wasitishe kifungo cha ndugu zao na uongo dhidi yao.
Mmoja wa watuhumiwa wa kesi hiyo ambaye alikamatwa kisha kuachiliwa huru, Leonard Myale alisema kuwa baada ya kumuona na kupata picha ya mchungaji huyo akiwa hai, watathibitisha Polisi ili akamatwe na watuhumiwa wengine waachiwe huru.
“Tumeteswa sana, tumedhalilishwa, tumepuuzwa na kusemwa vibaya na Wakristo wenzetu, ndugu zetu na hata jamii haikutuamini juu ya tuhuma hizi za uongo ambazo hata Polisi walitubambikiza kesi bila kufanya utafiti wa kina. Tulikanusha kuhusika na mauaji hayo lakini Polisi hawakutuamini. Sasa tunaamini tuko huru, wenye mamlaka watachukua hatua za kutusaidia” alisema Elenia Mhoka mtuhumiwa mwingine wa mauaji hayo.
Aidha aliyewahi kuwa Mchungaji wa KKKT Kitandililo, Geofrey Mtweve, alitafutwa ili kueleza kuhusiana na suala hilo, lakini hakutaka kuzungumza chochote na kusema kuwa yeye siyo msemaji wa kanisa hilo.
“Mimi si msemaji wa kanisa ila ni kweli nilikuwa Kitandililo, uongozi umenihamisha kujaIlembula, nimebadilishana na Mchungaji Leonard Kambo, ambaye ndiye nimemkabidhi usharika, mengine sifahamu lolote. Wasiliana na uongozi wa Jimbo,” alisema Mtweve.
Aidha mchungaji Kambo alipotafutwa na kuulizwa kuhusiana na yeye kutuhumiwa kifo na kama ni kweli aeleze kuwa alifufuka lini, lakini mawasiliano yakawa mabovu.
Hata baada ya kutumiwa ujumbe mfupi hakujibu na alipotafutwa tena kwa njia ya simu, simu yake haikupatikana.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, baada ya kuelezwa tukio hilo aliomba kupatiwa picha na namba ya RB na kuahidi kuwa atalifanyia kazi suala hilo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MCHUNGAJI ALIYEFARIKI AKUTWA AKIBATIZA KANISANI
MCHUNGAJI ALIYEFARIKI AKUTWA AKIBATIZA KANISANI
https://4.bp.blogspot.com/-dnIllhfcv5A/WQmqZwdY54I/AAAAAAAAac4/bSkyju3OeKYXGe7AGStNttLvOVDKc0qXQCLcB/s1600/WhatsApp-Image-2017-05-03-at-10.17.23.jpeg
https://4.bp.blogspot.com/-dnIllhfcv5A/WQmqZwdY54I/AAAAAAAAac4/bSkyju3OeKYXGe7AGStNttLvOVDKc0qXQCLcB/s72-c/WhatsApp-Image-2017-05-03-at-10.17.23.jpeg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/mchungaji-aliyefariki-akutwa-akibatiza.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/mchungaji-aliyefariki-akutwa-akibatiza.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy