MEJA JENERALI (MSTAAFU) KIJUU AWAASA WANAKAGERA KUCHANGAMKIA FURSA ZA TADB

SHARE:

Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali (Mstaafu) Salum Kijuu (aliyevaa Kaunda suti) akiwasili katika Viwanja vya Kyaikarabwa kutembelea na...

Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali (Mstaafu) Salum Kijuu (aliyevaa Kaunda suti) akiwasili katika Viwanja vya Kyaikarabwa kutembelea na kukagua shughuli zinazoendelea wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa inayofanyika kitaifa mkoani Kagera.
1Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali (Mstaafu) Salum Kijuu akikaribishwa katika Banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na Afisa Mahusiano na Masoko Mkuu wa TABD, Bw. Saidi Mkabakuli.
2Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali (Mstaafu) Salum Kijuu (aliyeshika kipaza sauti kulia) akizungumza wakati alipotembelea Banda la TADB. Anayemsikiliza kushoto ni Afisa Mahusiano na Masoko Mkuu wa TABD, Bw. Saidi Mkabakuli.
4
Afisa Mahusiano na Masoko Mkuu wa TABD, Bw. Saidi Mkabakuli akisisitiza jambo wakati Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali (Mstaafu) Salum Kijuu (hayupo pichani) alipotembelea Banda la TADB.  
 
Na mwandishi wetu, Bukoba 

Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali (Mstaafu) Salum Kijuu amewaasa wakulima na wafugaji wa mkoa wa Kagera kuchangamkia fursa za mikopo inayotolewa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) ili kujikwamua katika shughuli zao za kilimo mkoani humo. 

Meja Jenerali (Mstaafu) Kijuu alitoa wito huo alipotembelea Banda la TADB wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa inayofanyika kitaifa mkoani Kagera. 

Mkuu wa mkoa huyo alisema kwa kuzingatia malengo ya uanzishwaji wa Benki ya Kilimo unalenga kutimiza dhamira ya Serikali ya kuwasaidia wakulima nchini kote kukabiliana na mapungufu kwenye kuongeza tija katika shughuli zao za kilimo. 

“Nawaomba wakulima na wafugaji wa Kagera kuchangamkia mikopo nafuu ya Benki yetu ya Kilimo ili muongeze tija katika kilimo chenu maana Benki ipo kwa ajili ya kuhuisha upatikanaji wa mikopo katika sekta ya kilimo na kuchagiza mapinduzi katika kilimo nchini,” Meja Jenerali (Mstaafu) Kijuu alisihi. 

Kwa mujibu wa TADB, sekta za kilimo na mifugo ni sekta za kipaumbele ambazo zinazopatiwa mikopo kwa ajili ya uongezaji wa thamani mazao na mifugo hasa katika uongezaji wa thamani wa sekta hizo nchini. 

Benki hiyo inatoa mikopo ya aina tatu ambayo ni Mikopo ya Muda Mfupi (Hadi Miaka Miwili (2)), Mikopo ya Muda wa Kati (Zaidi ya Miaka 2 hadi Miaka Mitano (5)) na Mikopo ya Muda Mrefu (Zaidi ya Miaka 5 hadi Miaka Kumi na Mitano (15)). 

TADB ni taasisi ya serikali ambayo ilianzishwa kwa ajili ya kutatua ufinyu mkubwa wa upatikanaji wa fedha mikopo kwa ajili ya maendeleo ya kilimo nchini ambao ulikuwa unachangiwa kwa kiasi kikubwa na mikopo mingi kutoka taasisi za fedha kuelekezwa zaidi kwenye upande wa biashara za bidhaa; riba kubwa kwenye mikopo ya kilimo; mikopo ya muda mfupi; masharti magumu ya kukopa bila kuzingatia hali halisi ya sekta ya kilimo na mazao ambayo inaathiriwa kwa kiasi kikubwa na mabadiliko ya hali ya hewa.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MEJA JENERALI (MSTAAFU) KIJUU AWAASA WANAKAGERA KUCHANGAMKIA FURSA ZA TADB
MEJA JENERALI (MSTAAFU) KIJUU AWAASA WANAKAGERA KUCHANGAMKIA FURSA ZA TADB
https://3.bp.blogspot.com/-e0E4LvB_kI4/WSwziByNQoI/AAAAAAAAcAk/jZ0qQaB1cFAD-aLeJY_s6jNmOXNpyEydACLcB/s1600/unnamed-199.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-e0E4LvB_kI4/WSwziByNQoI/AAAAAAAAcAk/jZ0qQaB1cFAD-aLeJY_s6jNmOXNpyEydACLcB/s72-c/unnamed-199.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/meja-jenerali-mstaafu-kijuu-awaasa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/meja-jenerali-mstaafu-kijuu-awaasa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy