MFUGAJI ADAI RAMBIRAMBI YAKE BAADA YA MAREHEMU ‘KUFUFUKA’

SHARE:

Mfugaji mmoja wilayani Kalambo katika mkoa wa Rukwa amegoma kumrejesha kwa ndugu zake kijana ambaye aliaminika amekufa kwa kuliwa na fis...

Mfugaji mmoja wilayani Kalambo katika mkoa wa Rukwa amegoma kumrejesha kwa ndugu zake kijana ambaye aliaminika amekufa kwa kuliwa na fisi, lakini akakutwa akichunga mifugo; akidai kwanza malipo ya sh. milioni moja alizotoa kwenye msiba wake.
Tukio hilo la kushangaza lilitokea mwishoni mwa wiki baada ya kijana huyo kukutwa akichunga ng’ombe wa Juma Maeka, ambaye aligoma kumrejesha kwa ndugu zake akitaka kwanza kulipwa sh. milioni moja.
Mkazi wa kijiji cha Tunyi kata ya Mabwekoswe wilayani Kalambo mkoani Rukwa, Mtipa Sisunzu (20) alipotea Septemba, mwaka jana katika mazingira ya kutatanisha na ndugu zake waliweka msiba wakiamini alikufa kwa kuliwa na fisi.
Lakini Sisunzu alizua taharuki kijijini hapo wiki iliyopita baada ya kukutwa akichunga ng’ombe wa Maeka, hali iliyopelekea ndugu kushikwa na butwaa.
Diwani wa kata hiyo, Julias Siwale alisema kabla ya kupotea, kijana huyo alikuwa akifanya kazi ya kuchunga ng’ombe wa mfugaji huyo.
Baada ya kupotea kwake na kuwapo kwa msiba nyumbani kwao, alisema Siwale, Maeka alitoa sh. milioni moja kwa ajili ya kusaidia msibani.
Alisema baada ya msiba kumalizika, kila mtu aliamini kuwa kijana huyo alikuwa amefariki dunia.
Lakini wanakijiji walikuja kushangaa baada ya ndugu wa kijana huyo kumkuta akichunga ng’ombe wa mfugaji huyo katika moja ya mbuga zilizopo mbali na kijiji hicho.
Alisema baada ya kumtaka warudi nae nyumbani, Maeka aliwakatalia akitaka kulipwa fedha ambazo alitoa wakati wa msiba na kupelekea kujitokeza kwa malumbano baina yao.
Diwani Siwale alisema baada ya malumbano kuwa makubwa, ikawalazimu kama uongozi wa kata kuingilia kati na kumwamuru mfugaji huyo kumrejesha kijana huyo kwa ndugu zake sambamba na kumpiga faini ya sh. 100,000 kama fidia usumbufu aliowapa ndugu wa kijana huyo.
Mtendaji wa kata hiyo, Oswald Kalindo alisema awali kila mtu aliamini kijana huyo alikuwa amefariki dunia kwa kuliwa na fisi kwani walimtafuta kila kona ya kijiji na maeneo mengine kwa muda mrefu bila mafanikio.
Alisema kupatikana kwa kijana huyo kumeleta faraja kwa wakazi wa kata hiyo kutokana na kwamba kila mmoja alikuwa na shaka juu ya kupotea kwake.
Alisema wanajipanga kuitisha mkutano kuzungumzia suala hilo.
“Wananchi wametuomba viongozi tuitishe mkutano mkuu ili waweze kuzungumzia hali hii wakidai huenda kuna vijana wengi waliodaiwa kufa wakawa hai wakifanyishwa kazi za kuchunga ng’ombe au kulima mashamba,” alisema Kalindu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MFUGAJI ADAI RAMBIRAMBI YAKE BAADA YA MAREHEMU ‘KUFUFUKA’
MFUGAJI ADAI RAMBIRAMBI YAKE BAADA YA MAREHEMU ‘KUFUFUKA’
https://2.bp.blogspot.com/-CuDeiN2_EI0/WRB3OscdTtI/AAAAAAAAa4k/vAkadB-HoW83xr1CHXVPVNdk-voBawCwgCLcB/s1600/xJENEZA-750x375.jpg.pagespeed.ic.Hbb09vfgpr.webp
https://2.bp.blogspot.com/-CuDeiN2_EI0/WRB3OscdTtI/AAAAAAAAa4k/vAkadB-HoW83xr1CHXVPVNdk-voBawCwgCLcB/s72-c/xJENEZA-750x375.jpg.pagespeed.ic.Hbb09vfgpr.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/mfugaji-adai-rambirambi-yake-baada-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/mfugaji-adai-rambirambi-yake-baada-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy