MKURUGENZI WA HALOTEL AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA UHUJUMU UCHUMI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mawasiliano Viattel Tanzania ijulikanayo kama Halotel, Do Many Hong amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini Dar es Salaam leo akikabiliwa na shtaka la uhujumu uchumi.
Do Many Hong pamoja na wenzake nane wanakabilia na mashtaka 10 likiwemo la uhujumu uchumi ambalo limeisababishia serikali hasara ya TZS 459 milioni.
Baada ya kufikishwa mahakamani leo, kesi hiyo ya uhujumu uchumi imeahirishwa.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post