MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AVUNJA REKODI KKKT USHARIKA WA ENABOISHU NA KUFANIKISHA UPATIKANAJI WA MILIONI 39 NA VIONGOZI WAMBARIKI

SHARE:

                                                                                                Na Mwandishi Wetu, Arusha  Watumishi wa halm...

                                                                                               Na Mwandishi Wetu, Arusha 


Watumishi wa halmashauri ya Jiji La ARUSHA Kwa kushirikana na Mkurugenzi wao Bwana Athumani Juma Kihamia wamechangia kiasi cha shilingi Milioni 14 kwenye ibada ya harambee ya kuchangia maendeleo ya mtaa iliyofanyika katika kanisa la KKKT usharika wa Enaboishu halmashauri ya Arusha . 

Katika Ibada hiyo ya harambee ya kuchangia maendeleo mtaa wa Loruvani ambapo mgeni Rasmi alikuwa Mkurugenzi Kihamia amesindikizwa na watumishi pamoja na wadau wake wa karibu wamechangia Fedha hizo kwa ajili ya kuwatia waumini wa kanisa hilo kwa ajili ya maendeleo yao. 

Ibada hiyo ya aina yake ambayo kila Mtumishi alitoa mchango wake papo kwa papo na wengine kwa kuahadi wamesema kuwa wamependezwa na tabia ya Mkurugenzi wao anavyowapa ushirikiano na Moyo wa Upendo na si kazini tu bali na nje ya kazi ndiyo mana wakamsindikiza katika ibada hiyo. 
Hata hivyo amewataka Watanzania kushirikiana katika shughuli mbalimbali za maendeleo bila kujali dini ,kabila ,au Rangi anayotoka. 

Kihamia amesema kuwa jamii inapokuwa na ushiriano mzuri hata Mungu anawasaidia watu na kusisitiza suala La Amani ambalo ndiyo msingi Mkubwa katika kuabudu. 

Naye mchungaji wa kanisa hilo la KKKT Mchungaji Prosper Kinyaha amemuombea maombi maalum mkurugenzi Kihamia Mungu aendelee kumbariki kwa moyo wake wa ushirikiano na upendo wa kuchangia michango hiyo kwa kushirikana na wadau aliokuja nao. 

Katika hafla hiyo mkurugenzi Kihamia alikutana na walimu wake waliomfundisha katika shule ya sekondari magamba Boys iliyoko wilayani Lushoto kwa kipindi 1986 mpaka 1992 ambapo wameshangaa kumuona mwanafunzi wao ambaye kwasasa ni kiongozi wa jiji la arusha na kusema kuwa alikuwa ni moja ya mwanafunzi msikivu kwa walimu wake.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AVUNJA REKODI KKKT USHARIKA WA ENABOISHU NA KUFANIKISHA UPATIKANAJI WA MILIONI 39 NA VIONGOZI WAMBARIKI
MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AVUNJA REKODI KKKT USHARIKA WA ENABOISHU NA KUFANIKISHA UPATIKANAJI WA MILIONI 39 NA VIONGOZI WAMBARIKI
https://lh3.googleusercontent.com/-EIQUrd8a2zQ/WSsLFTDZZlI/AAAAAAAADWo/OCHK1T_6zewn8PWkQDlmRAurUIbmHyvMgCHM/s640/1nchemba%2B.jpg
https://lh3.googleusercontent.com/-EIQUrd8a2zQ/WSsLFTDZZlI/AAAAAAAADWo/OCHK1T_6zewn8PWkQDlmRAurUIbmHyvMgCHM/s72-c/1nchemba%2B.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/mkurugenzi-wa-jiji-la-arusha-avunja.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/mkurugenzi-wa-jiji-la-arusha-avunja.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy