MKWE WA RAIS TRUMP KUHOJIWA NA SHIRIKA LA UJASUSI LA FBI

Mkwe wa rais Donald Trump ambaye pia ni mshauri wake mwandamizi, Jared Kushner, atahojiwa na Shirika la Ujasusi la FBI kuhusiana na uchunguzi wa Urusi kuingilia uchaguzi.

Ripoti ya vyombo vya habari vya Marekani zinasema wachunguzi wanaamini Kushner ana taarifa muhimu, lakini si kwamba inamaanisha anachukuliwa kama mtuhumiwa.


FBI wanatafuta kubaini uwezekani wa Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani mwaka 2016 na uhusiano na kambi ya rais Trump.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post