MR T TOUCH : YOUNG DEE ANANGOMA NANE KALI NA TAYARI ZIMESHAIVA

Producer wa muziki maarufu Tanzania Mr T Touch wa Touchez Sound amesema rapa Young Dee anangoma kali nane na ziko tayari kutoka.
Mr T Touch ambaye alimkuta Young Dee akiwa Free Artist bila kushikiliwa na lebo yoyote amesema, wimbo mpya wa Young Dee ‘Bongo Bahati Mbaya‘ ilikuwa ngoma ya kwanza kutoka kwenye mikono yake ila haina levo kali kama ngoma zitazo kutoka kwa Young Dee.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post