MUASISI WA FACEBOOK MARK ZUCKERBER APEWA SHAHADA YA HESHIMA KATIKA CHUO ALICHOACHA

Muasisi wa Facebook Mark Zuckerber amerejea katika Chuo Kikuu cha Harvard kutoa hotuba katika mahafali na kupatiwa shahada ya heshima.

Tajiri huyo wa nne kwa utajiri duniani anathamani ya dola bilioni 62.3 aliacha masoma katika chuo hicho na kuamua kuanzisha mtandao wake huo maarufu duniani.

Bw. Zuckerberg ametoa wito kwa wanafunzi wa chuo hicho kutoishia kutengeneza ajira tu bali pia kubadili mustakabali wa utoaji huduma.

   Muasisi wa Facebook Mark Zuckerber akiongea na wahitimu wa Chuo Kikuu cha Harvard
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post