MUSIC: BARNABA – MALAIKA (LISTEN/DOWNLOAD)

Katika kipindi hiki ambacho taifa zima liko kwenye majonzi mazito ya kuomboleza msiba uliotukuta kutokana na ajali ya basi la wanafunzi wa Lucky Vicent iliyotokea mwishoni mwa wiki iliyopita wilaya ya Karatu jijini Arusha.
Msanii Barnaba ameamua kutoa wimbo wa maombolezo katika msiba huo mzito, na ameamua kuupa jina la Malaika. Bonyeza play kwenye widget hii hapa chini uweze kuusikiliza na hata kuudownload pia.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post