MUSUKUMA: WABUNGE WAWILI NDIO HAWAKWENDA KWA WAGANGA WAKATI WA UCHAGUZI

SHARE:

Mbunge wa Geita kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma amezua mvutano bungeni kufuatia kile alichokisema kuwa w...

Mbunge wa Geita kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma amezua mvutano bungeni kufuatia kile alichokisema kuwa wabunge wengi ndani ya Bunge la Tanzania wamepita kwa waganga wa kienyeji kipindi cha uchaguzi, na kama kuna ambao hawajapita ni wawili au watatu.
Musukuma aliyasema hayo alipokuwa akichangia hoja ya Wizara ya Habari kuwa wasanii wanatumiwa wakati wa uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wanatelekezwa bila msaada wowote.
“Kwa karama niliyonayo nikiangalia humu ndani (Bungeni) wakati wa uchaguzi ni wawili au watatu tu hatujapita kwa Waganga.” alisema Joseph Kasheku Musukuma.
Kauli ya Kasheku ilikuwa wakati akitaka kuonyesha kuwa si wasanii pekee wanaotumika na kutelekezwa baada ya uchaguzi, bali hata waganga wanatumika tena baada ya uchaguzi wanasiasa hao hao wanatumia polisi kuwafukuza.
Kufuatia hali hiyo, Kasheku aliuliza swali, kama serikali haoni kuna umuhimu wa kuwajengea japo chuo waganga hawa ili waweze kupatiwa elimu japo kidogo.
“Je, Mheshimiwa Spika, serikali haioni umuhimu wa kujenga chuo cha kuwasaidia waganga hawa hata kama ni kwa elimu ndogo?  aliuliza Kasheku.
Wakati mbunge huyo akiuliza swali lake hilo bungeni, wabunge wengi walisikika wakitaka anyamaze, huku wengine wakitaka awaombe msamaha kwani wanaamini kauli ya kwenda kwa waganga si ya kweli.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MUSUKUMA: WABUNGE WAWILI NDIO HAWAKWENDA KWA WAGANGA WAKATI WA UCHAGUZI
MUSUKUMA: WABUNGE WAWILI NDIO HAWAKWENDA KWA WAGANGA WAKATI WA UCHAGUZI
https://1.bp.blogspot.com/-4Lq9bjUZC14/WRMEnur4g5I/AAAAAAAAbB8/E5_AvJebdvcUll_UDMmojVIVq3804cNWACLcB/s1600/x9-13-750x375.jpg.pagespeed.ic._OajWoN7eC.webp
https://1.bp.blogspot.com/-4Lq9bjUZC14/WRMEnur4g5I/AAAAAAAAbB8/E5_AvJebdvcUll_UDMmojVIVq3804cNWACLcB/s72-c/x9-13-750x375.jpg.pagespeed.ic._OajWoN7eC.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/musukuma-wabunge-wawili-ndio-hawakwenda.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/musukuma-wabunge-wawili-ndio-hawakwenda.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy