MWANASHERIA ALBERT MSANDO AOMBA MSAMAHA BAADA YA VIDEO YAKE NA GIGY MONEY KUSAMBAA

SHARE:

Mwanasheria mkongwe nchini, Albert Msando amewaomba msamaha ndugu, jamaa na rafiki zake waliokwazika na kukerwa baada ya video yake na Gi...

Mwanasheria mkongwe nchini, Albert Msando amewaomba msamaha ndugu, jamaa na rafiki zake waliokwazika na kukerwa baada ya video yake na Gigy Money kusambaa kwenye mitandao ya kijamiii.
Msando kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema anawaomba msamaha wote waliokwazika, wote waliokerwa na video hiyo na kwamba sisi sote ni binadamua na mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.
“Nikikaa kimya nitakua mnafiki. Nimekosea. Kilichotokea hakikupaswa kutokea. I will be a man enough and say sorry kwa wote ambao nimewakwaza na kuwaangusha. Am so sorry. But the beauty of all this is we all are human. Kuna watu ambao wamekuwa wepesi kuhukumu. Siwalaumu. Ni sawa na ni haki yao. I made a stupid mistake. I take full responsibility. Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee. It could have been worse. And to all those who took time to text I appreciate. Thats friendship. #TheDon #Hennessy #TheClip” aliandika Msando.
Video hiyo ilisambaa jana kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha Msando na Gigy Money wakiwa ndani ya gari, huku Msando akipitisha mkono wake juu ya mwili wa Gigy, wakati huo Gigy Money akikata kiuno huku anacheza muziki.
Kwa sababu za kimaadili hatutaweza kuiweke video hiyo hapa.
Baada ya video hiyo kusambaa watu mbalimbali walionyesha kuchukizwa kutokana na wanavyomfahamu Mwanasheria Albert Msando kutokana na heshima kubwa na umaarufu aliojizolea kwenye jamii.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MWANASHERIA ALBERT MSANDO AOMBA MSAMAHA BAADA YA VIDEO YAKE NA GIGY MONEY KUSAMBAA
MWANASHERIA ALBERT MSANDO AOMBA MSAMAHA BAADA YA VIDEO YAKE NA GIGY MONEY KUSAMBAA
https://2.bp.blogspot.com/-sDnNBvHL7Bs/WSKt7D4e9fI/AAAAAAAAbsU/W_RMTMDnwokJoCLKjzcEycbA8uAmQq3xwCLcB/s1600/x1-12-598x375.jpg.pagespeed.ic.Pdg-r56B2o.webp
https://2.bp.blogspot.com/-sDnNBvHL7Bs/WSKt7D4e9fI/AAAAAAAAbsU/W_RMTMDnwokJoCLKjzcEycbA8uAmQq3xwCLcB/s72-c/x1-12-598x375.jpg.pagespeed.ic.Pdg-r56B2o.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/mwanasheria-albert-msando-aomba-msamaha.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/mwanasheria-albert-msando-aomba-msamaha.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy