NAIBU MKURUGENZI WA IMF AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI

SHARE:

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kulia) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Amina Khamis Shaabani (...

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kulia) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Amina Khamis Shaabani (kushoto) wakijadili jambo kabla ya kuwasili kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Tao Zhang katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) anaeziwakilisha nchi 23 za Afrika, Bw. Maxwell Mkwezalamba (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustino Mahiga, muda mfupi kabla ya kuwasili kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Tao Zhang, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Katikati ni Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb).
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kushoto), akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) anaeziwakirisha nchi 23 za Afrika, Bw. Maxwell Mkwezalamba (kulia) katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere muda mfupi kabla ya kuwasili kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Tao Zhang.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kushoto) na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Tao Zhang (kulia) wakifurahia jambo baada ya kusoma habari kuhusu ujio wa Zhang hapa nchini ambapo alikiri kutoa taarifa na kusudi la ujio wake zilizoandikwa na Gazeti la Daily News. Ni muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Tao Zhang (kulia) akiongozana na mweneji wake Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kushoto) baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere 


Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (katikati) na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Tao Zhang (kushoto) waklipeana mkono walipofika katika moja ya Hoteli jijini Dar es salaam. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WFM)

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Tao Zhang amewasili nchini kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), pamoja na Maafisa wengine waandamizi wa Serikali. katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. 

Akiwa nchini, Tao Zhang, atafanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Ikulu Jijini Dar Es Salaam 

Aidha, Zhang atawasilisha mtazamo wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF)kwa wadau hapa nchini kwa lengo la kuifanya Tanzania kuwa na maendeleo endelevu, kuimarisha uchumi mkubwa (Macroeconomy) na kuwa na uchumi shirikishi. 

Imetolewa na: 

Kitengo cha Mawasiliano Serikaini 

Wizara ya Fedha na Mipango 

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NAIBU MKURUGENZI WA IMF AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
NAIBU MKURUGENZI WA IMF AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
https://2.bp.blogspot.com/-IuP9VJhxoWY/WRqJIp_PCvI/AAAAAAAAbSY/ki-XEGpMoso4K8Jh9m86KH5N4aomuOs4gCLcB/s1600/IMG_9450.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-IuP9VJhxoWY/WRqJIp_PCvI/AAAAAAAAbSY/ki-XEGpMoso4K8Jh9m86KH5N4aomuOs4gCLcB/s72-c/IMG_9450.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/naibu-mkurugenzi-wa-imf-awasili-nchini_16.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/naibu-mkurugenzi-wa-imf-awasili-nchini_16.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy