NAPE NNAUYE AONYESHA PICHA ZA WAPIGAKURA WAKE WANAPOCHOTA MAJI

SHARE:

Mbunge wa Mtama kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ameeleza sababu ya yeye  kuwa mkali wakati wa kujadili hotuba ya baj...

Mbunge wa Mtama kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ameeleza sababu ya yeye  kuwa mkali wakati wa kujadili hotuba ya bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji ambapo alikuwa miongoni mwa wabunge waliotaka bajeti ya wizara hiyo iongezwe ili kuweza kumtua mama ndoo kichwani.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Nape Nnauye amesema kuwa sababu ya yeye kuwa mkali na kupiga kelele kuhusu maji ni kutokana na maeneo ambayo wapigakura wake huchota maji.
Nape amechapisha picha zikionyesha watu wakichota maji katika visima na kuandika “Huku ndiko wanakochota maji baadhi ya wapiga kura wangu! Sasa mtanielewa kwanini napiga kelele na maji.”
View image on TwitterView image on TwitterView image on Twitter
Huku ndiko wanakochota maji baadhi ya wapiga kura wangu! Sasa mtanielewa kwanini napiga kelele na maji
Akichangia hotuba ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Nnauye alisema mabadiliko yanayofanywa na Rais Magufuli hayatakuwa na manufaa  kama huduma za jamii hazitoboreshwa,  huku akishauri bajeti hiyo kuongezwa.
Aidha, Nape Nnauye ameijia juu serikali kuhusu kupunguzwa kwa bajeti ya maji kutoka zaidi ya bilioni  900 kwa mwaka 2016/17 hadi kufikia bilioni 672.2 kwa mwaka 2017/18 ikiwa ni punguzo la asilimia 30.

Mbali na Nape, wabunge wengine waliopata nafasi ya kuchangia hotuba hiyo akiwemo, Zitto Kabwe, Mussa Mbarouk, Suleiman Bungara, Tunza Malapo na Dk. Mary Nagu waliunga mkono hoja ya bajeti ya wizara hiyo kuongezwa kwani maji ni tatizo linalowakumba wanachi wengi nchini.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NAPE NNAUYE AONYESHA PICHA ZA WAPIGAKURA WAKE WANAPOCHOTA MAJI
NAPE NNAUYE AONYESHA PICHA ZA WAPIGAKURA WAKE WANAPOCHOTA MAJI
https://3.bp.blogspot.com/-9pmejy1FurY/WSENBA12eTI/AAAAAAAAbnI/ZtQqCMSuEVcO8Kvh3fnrIz8Sin3a6iWmQCLcB/s1600/3-7.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-9pmejy1FurY/WSENBA12eTI/AAAAAAAAbnI/ZtQqCMSuEVcO8Kvh3fnrIz8Sin3a6iWmQCLcB/s72-c/3-7.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/nape-nnauye-aonyesha-picha-za.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/nape-nnauye-aonyesha-picha-za.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy