NJIA 9 ZA KUONDOA SUMU MWILINI

SHARE:

Mwili huzalisha sumu au takamwili (free radicals) kila mara kunapofanyika mmeng’enyo wa chakula mwilini mwako. Taka hizi hutolewa ndani y...

Mwili huzalisha sumu au takamwili (free radicals) kila mara kunapofanyika mmeng’enyo wa chakula mwilini mwako. Taka hizi hutolewa ndani ya mwili kupitia njia mbalimbali ikiwemo haja kubwa, mkojo pamoja na jasho.
Mwili wa binadamu unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika kwa namna mbili, kupitia mazingira tunayoishi kama vile viwanda, migodi na maeneo mengine hatarishi ama kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kila siku.
Vilevile sumu au takamwili, zinaweza kuingia mwilini kupitia dawa mbalimbali hasa tunazotumia kujitibu magonjwa mbalimbali.
Mwili unapoingiwa na sumu au takataka zisizohitajika na zikazidi mwilini unaweza ukapata madhara mbalimbali kama vile uchovu sugu, maumivu ya viungo, kuumwa kichwa kila mara, tumbo kujaa gesi
-Kufunga choo au kupata choo kigumu, kukosa utulivu, kuishiwa nguvu, kupenda kula kula kila mara pamoja na matatizo mbalimbali ya ngozi ikiwemo chunusi.
Zifuatazo ni namna au njia zinazoweza kupunguza sumu mwilini kama siyo kuondoa kabisa.
Fanya mlo wako mmoja wa siku kuwa ni matunda pekee
Amua moja ya mlo wako kwa siku uwe ni matunda pekee bila chakula kingine zaidi. Unaweza kuamua ama chakula cha asubuhi au cha jioni kuwa ni matunda pekee. Pia utumie maji ama juisi kama kinywaji chako.
Kula vyakula vya asili zaidi kuliko vya viwandani
Ili kuepuka sumu au takataka nyingine kirahisi kuingia katika mwili, basi pendelea kula vyakula vya asili vinavyopikwa nyumbani na sio vya kwenye makopo ama madukani.
Fanya masaji
Wengi tunaichukulia masaji kama kitu cha starehe tu (relaxation) lakini unaweza kutumia masaji kama njia mojawapo ya kuondoa sumu mwilini na utafanikiwa kwa muda mfupi sana.
Kunywa maji mengi kila siku
Sababu kubwa ya watu wengi kutengeneza sumu au taka mwilini mwao ni kutokunywa maji mengi kila siku. Maji ni muhimu katika maisha yetu na inashauriwa utumie zaidi ya lita 3 kwa siku. Kumbuka asilimia 94 ya damu yako imeundwa na maji, asilimia 85 ya ubongo wako ni maji, hivyo ili kusafisha damu na mwili kwa ujumla ni lazima unywe maji ya kutosha kila siku.
Epuka chai ya rangi na Kahawa
Epuka kunywa chai ya rangi ama kahawa na badala yake tumia chai yenye tangawizi, mdalasini au mchaichai. Chai ya rangi na kahawa vina kafeini (Caffein) ambayo hukausha maji mwilini kwa haraka (dehidration) na kuuacha mwili bila kuwa na maji ya kutosha kwa ajili ya kazi zake.
Fanya mazoezi ya viungo
Mazoezi ya viungo ni jambo la muhimu na la ulazima kama ilivyo chakula. Iwe unaumwa au huumwi, iwe una uzito kuzidi au una uzito wa kawaida hakikisha unapata muda wa kufanya mazoezi.Hakikisha jasho linakutoka la kutosha na iwe ni jambo la kila mara na siyo unaenda jumamosi na jumapili (weekend) tu, hiyo haitoshi, fanya mazoezi mara 4 mpaka mara 5 kwa wiki.
Kula zaidi vyakula vyenye nyuzinyuzi
Vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi ni pamoja na parachichi, ndizi, peazi, karoti, pilipili hoho, mchele wa brown (ule wanashauriwa watu wa kisukari wautumie), maharage meusi, njegere, tende, viazi vitamu, tufaa (apple), machungwa, ugali wa dona pia mkate wa unga wa ngano ambao haujakobolewa.
Pata usingizi wa kutosha kila siku
Moja ya vitu vinaweza kukupelekea kuwa na sumu mwilini au takataka nyingi ni pamoja na kutokulala muda wa kutosha kila siku. Usingizi haukopwi na huwezi kuwa na ufanisi katika kazi zako kama hupati usingizi wa kutosha kila siku.Unapopata muda wa kutosha wa kulala masaa 7 mpaka 8 kwa siku unaupa mwili wako nafasi ya kutosha ya kupumzika na kujiripea upya na hivyo ndivyo sumu na takataka nyingine zinavyoweza kukutoka kirahisi.
Epuka mazingira hatarishi na yenye sumu
Kuna mazingira yanajulikana wazi kuwa ni vyanzo vya sumu mwilini. Maeneo ya migodi ya madini, maeneo yenye viwanda vingi, maduka yanayouza dawa za kilimo nk.Maeneo haya yanafaa kukaa mbali na makazi ya binadamu kwa usalama wa afya zetu.
Ukizingatia haya, utakuwa umejiweka katikahali nzuri ya kupunguza sumu ndani ya mwili wako na hivyo kukuwezesha kuishi maisha yenye furaha na kwa muda mrefu zaidi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NJIA 9 ZA KUONDOA SUMU MWILINI
NJIA 9 ZA KUONDOA SUMU MWILINI
https://1.bp.blogspot.com/-lXa5hqZ45Ek/WQzKG5-EntI/AAAAAAAAap8/co48q6Guzb4nr15uI3bOVU5mUE4fAwxIwCLcB/s1600/xcancer-will-skip-you-recipe-by-one-famous-doctor-for-removing-toxins-out-of-your-body1-1024x538-750x375.jpg.pagespeed.ic.v2Q6GrL9pl.webp
https://1.bp.blogspot.com/-lXa5hqZ45Ek/WQzKG5-EntI/AAAAAAAAap8/co48q6Guzb4nr15uI3bOVU5mUE4fAwxIwCLcB/s72-c/xcancer-will-skip-you-recipe-by-one-famous-doctor-for-removing-toxins-out-of-your-body1-1024x538-750x375.jpg.pagespeed.ic.v2Q6GrL9pl.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/05/njia-9-za-kuondoa-sumu-mwilini.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/05/njia-9-za-kuondoa-sumu-mwilini.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy