P DIDDY AONGOZA WANAHIPOP MATAJIRI DUNIANI

Jarida la FORBES linalochapishwa nchini Marekani limetangaza wasanii matajiri watano wa hip hop duniani huku msanii, Sean John Combs maarufu kama P Diddy akiongoza orodha hiyo.
P Diddy anaingiza pesa kwa biashara zake tofauti ikiwa ni pamoja na mauzo ya kinywaji chake cha Ciroc, Televisheni ya Revolt pamoja na matamasha mbalimbali anayofanya na kundi lake kwa sasa ‘Bad boy Family Reunion Tour’
Aidha, Wasanii wengine waliotajwa kwenye orodha hiyo ambayo hutolewa na Jarida la Forbes kila mwaka ni pamoja na Jay z ambaye ni wa pili akiwa na utajiri wa USD 810 million, Dr. dre ni wa tatu ana utajiri wa USD 740 million. wa nne ni Birdman mwenye utajiri wa USD 110 million na wa tano ni Drake mwenye utajiri wa USD 90 million
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post