PICHA 11: UFUNGUZI WA KIJIWE KIPYA CHA BATA CHA KISASA TIPS LOUNGE

Aprili 30 mwaka huu, usiku wa kuamkia siku ya wafanyakazi wakazi wa Dar es Salaam walifurahia kufunguliwa kwa kijiwe kipya na cha kisasa kwa ajili ya kula bata.
Kijiwe hicho kinafahamika kama TIPS Lounge kilichopo Regent Estate, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo unaweza kupata huduma mbalimbali zikiwemo vinywaji pamoja na chakula, lakini pia kuangalia mechi za ligi na michuano mbalimbali.
Kijiwe hiki cha kisasa hufunguliwa kila siku ya wiki kuanzia saa tatu asubuhi, hadi saa sita usiku. Kufahamu zaidi kuhusu kijiwe hiki, unaweza kuwafuata (follow) kupitia ukurasa wao wa Instagram @tipslaounge
Hapa chini ni baadhi ya picha za watu mbalimbali wakisherehekea ufunguzi wa TIPS Lounge.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post